Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Kama dr Slaa atakuwa katibu au mwenyekiti chama hicho kitakuwa moto ili mradi awapate pia covid 19 na ccm bushiri
 
Kama dr Slaa atakuwa katibu au mwenyekiti chama hicho kitakuwa moto ili mradi awapate pia covid 19 na ccm bushiri

Yaani hata Magu angefufuka na kuwa mwenyekiti na Slaa katibu mkuu, bado hilo tawi la ccm litakuwa na wakati mgumu.
 




Mkuu umeongea mengi ila between the lines ni dhahiri kwamba wewe hupendezwi na ujio wa hiki chama,sasa sijajua ni kwa nini ipo hivyo?


alafu kingine unachopaswa kufahamu ni kwamba kwenye maisha safari za mafanikio sio lazima zifanane kwa kila mtu,sio kwa sababu nyie CDM mmepitia magumu kufika hapo basi na wengine wote lazima iwe hivyo au watumie muda kama huo!!
 
Ulanzi tu ndugu yangu. Sasa huyo mnayempamba kila siku alishindwa nini kutumia vitu vyote hivyo? Kama mabwawa na mito imejaa mbona njaa haikuisha miaka yote mitano? Nayo ni mabeberu? Kama tuna vivutio mbona hakuleta watalii tupate mabilioni ila akawa anaruka na dreamliner kwenda chato kisalimia? Mna bahari na maziwa miaka yote mitano aliwanunulia meli au boti au mashua ngapi za kuvua samaki?
 
Ulimsikia Lowasa au kiongozi yeyote wa chadema akiwaita watu wanyonge. Watu walikua wanadeki kwa mapenzi yao na kushangilia kwa sababu walitambulia utu wao. Sio nyie mnaita watu wanyonge ili wawaabudu na kuwapigia magoti. Hadi profesa wa chuo kikuu anaita chuo ni jalala. Kisa tu aonekane mnyonge.
 
Umeeleza kisomi zaidi inahitaji mtu alie timam vya kutosha kukuelewa
 
Ripoti ya cag itawagalagaza
 
Hii itakufa kama CCJ
 
Naombeni uanachma tumnyooshe muuaji wa msoga
 
Miaka yote mitano aliyoongoza hakukuwa na njaa. Au ulikuwa haupo Tanzania ?
 
Ujinga ganitena huu umeandika najisi kwa watz halali tafadhali futa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…