Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Sasa nyankurungu Ccm iogope hicho chama kwani hicho chama kina nini?
 
Unajua kufanya tafiti? Ingia mitaani na ufanye tafiti.
 
Nilikuwa nimekosa chama baada ya JPM R.I.P kukataliwa na kusemwa vibaya na chama chake na chadema!

Sasa Mimi rasimi Umoja Party

Wapuuzi tu wanaoubeza upepo wa Hayati JPM

Tayari ccm wanajinyea, chadema ndo kabisaa
Bwana Paulsylvester Chama hata usajiri bado hakijapata tayari kimeshaanza kuogopwa? Kwa lipi? kinakuja na nini?

Ccm chama dola chama dume ndio kiogope Umoja party kweli?
 
Leo mnaiunganisha chadema na CCM ili mpate milage. Wakati dictator anaipiga chadema mliona sawa mpaka kumpoteza saanane na kumlima risasi Lissu. Leo mnaona aliyofanya Ni mazuri kwa chadema . Sawa.
 
Bwana Paulsylvester Chama hata usajiri bado hakijapata tayari kimeshaanza kuogopwa? Kwa lipi? kinakuja na nini?

Ccm chama dola chama dume ndio kiogope Umoja party kweli?
Ccm wanadhani wasomi pekee ndio kila kitu, wanawatupa wananchi wa chini, wamesahau hata kaulimbiu ya chama chao kuwa ni ccm si chama cha matajiri

Ngoja waione nguvu ya walala hoi wapuuzi hawa!
 
Ndugu zako waliokufa karma iliondoka nao kwa dhambi zipi walizotenda?
 
Mwanasiasa anayedhani kuanzisha Chama kipya ndiyo solution ya matatizo waliyonayo Watanzania ni mjinga sisemi ni mpumbavu!
Watanzania wengi hawajitambui hivyo si lazima kuanzisha Chama kipya ndo uwaamushe!
Angalia press ya Waziri Bashe na wale wahindi wa Mbolea juzi ndo utajua ninachoongea!
Waziri Bashe anawabembeleza wale wezi warudishe elfu 30 walizowaibia wakulima kwa kila mfuko wa Mbolea badala ya kutaifisha Mbolea yao yote na kuwatupa lupango kama wahujumu uchumi wengine!
Fight from within is better kuliko kuanzisha tu vyama vya ajabu ajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…