Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako ungeiweka kithiolojia ingekuwa na mantikiDunia imewahi kaliwa na watu kabla ya binadamu.
Hata hii itapita watakuja wengine.
Na dunia ni sehemu tu ya uumbaji kati ya sayari zingine mamilioni ambazo Bado hazijagundulika na wanasayansi wa kibinadamu
Actually!DR Mambo Jambo
Kuna maswali hapa
eleza na mwanzo wa andiko lako najua sio utafiti binafsiActually!
Nikiri kwamba Hii Mada Inachanganya Sana na Sidhani kama Ni Mada salama Sana kwa Wakristo kwa Sababu inaweza Ikaibua Vitu ambavyo hawakuwahi kuviamini kama vipo.. Ila Kwa wayahudi Na waislamu kwao Sio Mada Ngeni sana ila Nitaenda Kuichambua Kwa mapana Yake so tutaelewana vizuri..
Cautions!
Ninaweza Kuandika Maelezo marefu Sana So ili kuelewa Every single dot inabidi Kuyasoma Yote..na ieleweke kuwa Sipo kutetea ,Kutangaza au Kuidogosha/Kuitukana Imani ya Mtu yoyote, I am just here to explore Kijielimu nilicho nacho kwa Wote ili tupate kauelewa niliko nako..
So let me start!..
Waislamu na Wayahudi Wanakubaliana kwamba Kabla ya uumbaji (Ambao tunaufahamu) ulikuwepo Uumbaji mwingine ambao Ulipitia Upotevu na Ukaadhibiwa..
Waislamu wanaamini Kuwa kabla ya Binadamu Waliumbwa Majini kwanza Na Majini walipofanya Dhambi na Uharibifu waliadhibiwa Ikiwa ni pamoja na Kufukuzwa Duniani (Kutoikalia Dunia)..
Wayahudi wanaamini Uumbaji Ule uliharibiwa na baada ya Kuharibiwa Binadamu wa kwanza aliyefanya Dhambi "Lilith" alisababisha Dunia iharibiwe na Baadae Kutokana na Hasira aliyokuwa nayo Mungu aliharibu kila kitu ila baadae ilibidi aweke kila kitu sawa..
ili kujibu Mada hizo kwa Facts tutapitia 3 Concepts..
- Textual Analysis of Genesis (Uchambuzi wa Andiko)
- Agreed Theorism
- Esoteric Knowlege and Kaballah
Textual Analysis of Genesis (Uchambuzi wa Andiko).
Tuanze na Andiko lenyewe lenye Utata Bere'shit (Mwanzo) 1:1-2
בְּרֵאשִׁית בָּרָא אֱלֹהִים אֵת הַשָּׁמַיִם וְאֵת הָאָרֶץ׃
וְהָאָרֶץ הָיְתָה תֹהוּ וָבֹהוּ וְחֹשֶׁךְ עַל פְּנֵי תְהוֹם וְרוּחַ אֱלֹהִים מְרַחֶפֶת עַל פְּנֵי הַמָּיִם׃
Inatamkika Hivi:
Bereshit bara Elohim et hashamayim ve'et ha'aretz.
Veha'aretz hayetah tohu vaBohu vechoshech al penei tehom veruach Elohim merahefet al penei hamayim.
Tafiri Iliyorasimishwa (Ambayo baadaye nitaielezea)
"Hapo mwanzo, Mungu aliziumba mbingu na dunia
Nayo dunia ilikuwa ukiwa, tena utupu; giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, na Roho wa Mungu alikuwa akitanda juu ya uso wa maji."
Neno Nililolowekea Alama Nyekundu Ndo msingi Hasa wa Kuchunguza Andiko hilo Ili kupata maana Halisia..
Neno Tohu vaBohu" (תֹהוּ וָבֹהוּ), Ukilingalia Kwa haraka haraka Unaweza Ukasema Ni neno Moja tu ila Hilo ndio neno ambalo Linaweza Kubadili Asili ya Uumbaji wote au kupreserve aslili ya Uumbaji kama Wakristo wanavyoiamini
Neno Tohu (תֹהוּ ) lina maana zifuatazo confused State, chaos au Chaotic state pia emptiness na formlessness..
Pia Va humaanisha "na" na Hiyo Bohu humaanisha Void au Emptiness..
Sasa je Yanaweza Kutafsiriwa Vipi unaweza Ukasema Kuwa Ni Chaotic Void (Vurugu Iliyotawala, Vurugu iliyozidi, Machafuko yaliyokithiri au Utupu wenye machafuko au Jangwa la Machafuko)..
Kingine Tafsiri ya Neno Roho wa Mungu haijakaa Poa kwa sababu Neno ve Ruach (וְרוּחַ)halimaanishi roho Peke yake Linamaanisha Upepo Mkali pia "Tungeweza Kusema Upepo mkali Kutoka kwa Mungu" yaani "veruach Elohim"
So Tukiacha maana Halisi tuliyoambiwa Pia Ukiangalia maana Moja moja Unaweza ukaaandila Tena Hicho kipande cha Aya Hivi.. (Mwanzo 1:1-2

Nayo dunia ilikuwa kwenye Machafuko na ukiwa, tena utupu; giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, na Upepo Mkali kutoka kwa Mungu ulikuwa ukitanda juu ya uso wa maji."
Umeona Tulivyofanya Tafsiri Ya maneno mawili Maana Ya Andilo Ilivyobadilika?
Kwahiyo kwa Kusema Kuwa Dunia Iliumbwa Ukiwa Na Tupu Wayahudi na Watu wa Esoteric wanakataa hiyo kitu..
Tusome kwenye..Isaya 45:18
"Maana Bwana, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa......."
Na Pia hata Tukisoma Kwenye 2 Petro 3:5-6, tunasoma:
"Kwa kuwa wanapuuza jambo hili kwa hiari yao, ya kuwa zamani za kale kulikuweko mbingu pamoja na nchi iliyotokana na maji, na kwa maji ..."
Wanatheolojia Wengi sana Wanaamini kwamba Mungu aliumba Kawaida Ila Baadaye Kukatokea Tatizo mahali Vita na Baadaye Dunia Hiyo ikaangamizwa na Baadaye Mungu akaanza Kuumba Mtu atakayeweza Kuitunza na Kuilinda..
Na wengine wanasema Kwamba Hata kitabu cha Yeremia 4:23-26 Haikuwa Tabiri wa Unabii Bali ilikuwa Ni Historia Ya Ilivyotokea Baada ya Uuambaji wa kwanza...
Yeremia 4:23-26
"23 Naliiangalia nchi, na tazama, ilikuwa ukiwa, haina watu; naliziangalia mbingu, nazo zilikuwa hazina nuru.
24 Naliiangalia milima, na tazama, ilitetemeka, na milima yote ilisogea huko na huko.
25 Nikaangalia, na tazama, hapakuwa na mtu hata mmoja, na ndege wote wa angani wamekwenda zao.
26 Nikaangalia, na tazama, shamba lililozaa sana (Edeni) limekuwa ukiwa, na miji yake yote ilikuwa imebomoka mbele za Bwana, na mbele za hasira yake kali."
Na Hiyo Verse Ndo inaelezea zaidi Kuhusu Mwanzo 1:2 tunayoitafuta Sasa..
Swali Ni kwamba Nini Kilifanyika Baada ya Uumbaji na Hapo Ndo inakuja 2nd concepts Inaitwa Gap Theory View attachment 3255592
View attachment 3255593
Sasa Hapa ndo Kuna Utata Wote..
Ngoja kwanza Nipumzike 😀😀
min -me | Mangi Meno | Aaliyyah
Kuna swali?
Hupangiwi cha kuamini.Usinipangie cha kuamini.
Kabla ya kusema Dunia ni project ya Mungu, Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu na ueleze huyo Mungu alitoka wapi au aliumbwa na nani?Dunia ni project ya Mungu.
Maybe Hunijui Vizuri Ninachokiandika Ni utafiti Binafsi..eleza na mwanzo wa andiko lako najua sio utafiti binafsi
Asante mkuu pumzika tunakusubiriActually!

Kuamini kuwa Mungu hayupo pia ni IMANI kama ilivyo kuamini kuwa Yupo.Kabla ya kusema Dunia ni project ya Mungu, Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu na ueleze huyo Mungu alitoka wapi au aliumbwa na nani?
Kusema tu, Dunia ni project ya Mungu bila kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.
Una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule, kuunda hitimisho potofu.
Naona umejimilikisha uzee kuwa wengine ni watoto😂Maybe Hunijui Vizuri Ninachokiandika Ni utafiti Binafsi..
Na Nimekuwa Nikifanya Utafiti kuhusu Mambo ya Kiroho Pengine kuliko hata Umri wako..
Nimeanza Kufanya Utafiti mwaka 1999..
Hata Nilipokuwa Mwanatholojia Bado Nilikuwa Nikifanya Utafiti, Nilipokuwa Myahudi Bado nilifanya Utafiti Na Nilipokuwa Muislamu bado nilifanya Utafiti..
Itoshe Kusema Watu wa Aina Yako wana Mengi ya Kujifunza ila Kama Una swali Unakaribishwa
Hapana Kama Umesoma Sentensi yangu its more bit of Probabilistic Logic ndo maana nimetumia Neno "Pengine" ambalo its more of Uncertain..Naona umejimilikisha uzee kuwa wengine ni watoto😂
Hakuna siri kwenye dini, jibuni maswali ya waumini wenu.Kwanza jua kwenye Biblia umeachiwa vitu vichache sana kwa ufahamu wa wengi ukifika level za juu za ufahamu kwenye dini utajua siri nyingi.
Mungu haaminiwi hayupo.Kuamini kuwa Mungu hayupo pia ni IMANI kama ilivyo kuamini kuwa Yupo.
Mimi siamini kwenye kuamini.Wanaoamini yupo wana sababu zao na wanaoamini hayupo wanazo zao, kila mtu aishi na imani yake, tusichoshane kwa maswali mengi.
Big Up kwako. Kimsingi nilikiwa nalijua hili na nilikiwa nataka nipate nyongeza ya madini toka kwa wadau kama nyie. Hongera umelieleza vizuri mkuu.Actually!
Nikiri kwamba Hii Mada Inachanganya Sana na Sidhani kama Ni Mada salama Sana kwa Wakristo kwa Sababu inaweza Ikaibua Vitu ambavyo hawakuwahi kuviamini kama vipo.. Ila Kwa wayahudi Na waislamu kwao Sio Mada Ngeni sana ila Nitaenda Kuichambua Kwa mapana Yake so tutaelewana vizuri..
Cautions!
Ninaweza Kuandika Maelezo marefu Sana So ili kuelewa Every single dot inabidi Kuyasoma Yote..na ieleweke kuwa Sipo kutetea ,Kutangaza au Kuidogosha/Kuitukana Imani ya Mtu yoyote, I am just here to explore Kijielimu nilicho nacho kwa Wote ili tupate kauelewa niliko nako..
So let me start!..
Waislamu na Wayahudi Wanakubaliana kwamba Kabla ya uumbaji (Ambao tunaufahamu) ulikuwepo Uumbaji mwingine ambao Ulipitia Upotevu na Ukaadhibiwa..
Waislamu wanaamini Kuwa kabla ya Binadamu Waliumbwa Majini kwanza Na Majini walipofanya Dhambi na Uharibifu waliadhibiwa Ikiwa ni pamoja na Kufukuzwa Duniani (Kutoikalia Dunia)..
Wayahudi wanaamini Uumbaji Ule uliharibiwa na baada ya Kuharibiwa Binadamu wa kwanza aliyefanya Dhambi "Lilith" alisababisha Dunia iharibiwe na Baadae Kutokana na Hasira aliyokuwa nayo Mungu aliharibu kila kitu ila baadae ilibidi aweke kila kitu sawa..
ili kujibu Mada hizo kwa Facts tutapitia 3 Concepts..
- Textual Analysis of Genesis (Uchambuzi wa Andiko)
- Agreed Theorism
- Esoteric Knowlege and Kaballah
Textual Analysis of Genesis (Uchambuzi wa Andiko).
Tuanze na Andiko lenyewe lenye Utata Bere'shit (Mwanzo) 1:1-2
בְּרֵאשִׁית בָּרָא אֱלֹהִים אֵת הַשָּׁמַיִם וְאֵת הָאָרֶץ׃
וְהָאָרֶץ הָיְתָה תֹהוּ וָבֹהוּ וְחֹשֶׁךְ עַל פְּנֵי תְהוֹם וְרוּחַ אֱלֹהִים מְרַחֶפֶת עַל פְּנֵי הַמָּיִם׃
Inatamkika Hivi:
Bereshit bara Elohim et hashamayim ve'et ha'aretz.
Veha'aretz hayetah tohu vaBohu vechoshech al penei tehom veruach Elohim merahefet al penei hamayim.
Tafiri Iliyorasimishwa (Ambayo baadaye nitaielezea)
"Hapo mwanzo, Mungu aliziumba mbingu na dunia
Nayo dunia ilikuwa ukiwa, tena utupu; giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, na Roho wa Mungu alikuwa akitanda juu ya uso wa maji."
Neno Nililolowekea Alama Nyekundu Ndo msingi Hasa wa Kuchunguza Andiko hilo Ili kupata maana Halisia..
Neno Tohu vaBohu" (תֹהוּ וָבֹהוּ), Ukilingalia Kwa haraka haraka Unaweza Ukasema Ni neno Moja tu ila Hilo ndio neno ambalo Linaweza Kubadili Asili ya Uumbaji wote au kupreserve aslili ya Uumbaji kama Wakristo wanavyoiamini
Neno Tohu (תֹהוּ ) lina maana zifuatazo confused State, chaos au Chaotic state pia emptiness na formlessness..
Pia Va humaanisha "na" na Hiyo Bohu humaanisha Void au Emptiness..
Sasa je Yanaweza Kutafsiriwa Vipi unaweza Ukasema Kuwa Ni Chaotic Void (Vurugu Iliyotawala, Vurugu iliyozidi, Machafuko yaliyokithiri au Utupu wenye machafuko au Jangwa la Machafuko)..
Kingine Tafsiri ya Neno Roho wa Mungu haijakaa Poa kwa sababu Neno ve Ruach (וְרוּחַ)halimaanishi roho Peke yake Linamaanisha Upepo Mkali pia "Tungeweza Kusema Upepo mkali Kutoka kwa Mungu" yaani "veruach Elohim"
So Tukiacha maana Halisi tuliyoambiwa Pia Ukiangalia maana Moja moja Unaweza ukaaandila Tena Hicho kipande cha Aya Hivi.. (Mwanzo 1:1-2
"Hapo mwanzo, Mungu aliziumba mbingu na dunia
Nayo dunia ilikuwa kwenye Machafuko na ukiwa, tena utupu; giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, na Upepo Mkali kutoka kwa Mungu ulikuwa ukitanda juu ya uso wa maji."
Umeona Tulivyofanya Tafsiri Ya maneno mawili Maana Ya Andilo Ilivyobadilika?
Kwahiyo kwa Kusema Kuwa Dunia Iliumbwa Ukiwa Na Tupu Wayahudi na Watu wa Esoteric wanakataa hiyo kitu..
Tusome kwenye..Isaya 45:18
"Maana Bwana, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa......."
Na Pia hata Tukisoma Kwenye 2 Petro 3:5-6, tunasoma:
"Kwa kuwa wanapuuza jambo hili kwa hiari yao, ya kuwa zamani za kale kulikuweko mbingu pamoja na nchi iliyotokana na maji, na kwa maji ..."
Wanatheolojia Wengi sana Wanaamini kwamba Mungu aliumba Kawaida Ila Baadaye Kukatokea Tatizo mahali Vita na Baadaye Dunia Hiyo ikaangamizwa na Baadaye Mungu akaanza Kuumba Mtu atakayeweza Kuitunza na Kuilinda..
Na wengine wanasema Kwamba Hata kitabu cha Yeremia 4:23-26 Haikuwa Tabiri wa Unabii Bali ilikuwa Ni Historia Ya Ilivyotokea Baada ya Uuambaji wa kwanza...
Yeremia 4:23-26
"23 Naliiangalia nchi, na tazama, ilikuwa ukiwa, haina watu; naliziangalia mbingu, nazo zilikuwa hazina nuru.
24 Naliiangalia milima, na tazama, ilitetemeka, na milima yote ilisogea huko na huko.
25 Nikaangalia, na tazama, hapakuwa na mtu hata mmoja, na ndege wote wa angani wamekwenda zao.
26 Nikaangalia, na tazama, shamba lililozaa sana (Edeni) limekuwa ukiwa, na miji yake yote ilikuwa imebomoka mbele za Bwana, na mbele za hasira yake kali."
Na Hiyo Verse Ndo inaelezea zaidi Kuhusu Mwanzo 1:2 tunayoitafuta Sasa..
Swali Ni kwamba Nini Kilifanyika Baada ya Uumbaji na Hapo Ndo inakuja 2nd concepts Inaitwa Gap Theory View attachment 3255592
View attachment 3255593
Sasa Hapa ndo Kuna Utata Wote..
Ngoja kwanza Nipumzike 😀😀
min -me | Mangi Meno | Aaliyyah
Kuna swali?
Upo sahihi. Kulikuwa na maisha kabla yetu mkuu.NITAJARIBU HOJA MOJA PEKEE;
WATAFITI NA WANA THEOLOJIA;
Mara nyingi katika kuyachimba maandiko na kutafiti nyakati za biblia, wamefanya tafiti mbalimbali ili kujiridhisha majira na nyakati ambazo vitabu mbalimbali katika biblia kuwa viliandikwa nyakati gani katika historia.
Katika utafiti huo, kitabu cha AYUBU kimewapa wakati mgumu kujua kuwa Ayubu kuwa;
- Aliishi nyakati gani?
- Nchi ya Usi alikoishi Ayubu ilipatikana wapi?
Kwa kukosa majibu ya maswali hayo, hawa watafiti wa maandiko wengi wao wamejaribu kwenda mbali zaidi na kuamini;
-Huenda kulikuwa na dunia au maishi mengine kabla ya sasa
- Huenda Mungu aliiangamiza dunia ya kale kabla ya hii mpya ambayo labda nchi ya Usi alipoishi Ayubu ilipatikana.
Note;
Huu ukiwa wa dunia unaoongelewa Mwanzo 1.2 huenda umetokana na kutoweshwa kwa viumbe wa dunia ya Mwanzo.
Note; nilisema najaribu
Haya umeshinda. Hongera.Hatuwezi kujadili vitu vyenye logical inconsistency.
Lazima kwanza viwe kwenye logical consistency ndio vilete maana.
Ni sawa na tuanze kujadili hekaya za Abunuwasi, Esopo, kalume kenge au Alfu lela ulela.
Atashindaje kwa hoja za kijinga?Haya umeshinda. Hongera.
Hahahaha, walikuwa na hoja lakini mkuu.😀😀😀Huu ndo mstari ulikuwa unawapa nguvu falme za giza kwamba giza lilitangulia nuru,kulikuwa na pin kubwa sana hapo mpaka Muumba mwenyewe alipotutoa hapo.