Awamu hii tumepigwaUliona wap Awamu hii wakijenga Barabara? Hawajajenga hata 1km, WANAKOPA Ili kujenga vyoo na madarasa ya shule, WANAKOPA kufidia ONGEZEKO la Bei za mafuta.
Mtapata mwakilishi mwingine muda ukifika, Huyo atapewa KAZI KUBWA zaidi ya hiyo Ili asimamie KAMPUNI yote. Amen
Kweli kabisa, tumechoka na foleni. Watu potential wa nchi hii wote wapo Tegeta, Boko, Ununio, Mbweni, Bunju na bagamoyo kazi kuwasha vingora kukwepa mnyororo! Mabasi ya mikoani yanapitishwa huku alafu barabara finyu!Mchungaji Gwajima hii barabara ni muhimu sana. Tumeshaisemea sana SISI WANANCHI WA jimbo la Kawe hasa tunaoishi huku Bunju.
Asubuhi inakuwa kero sana kufika mjini ila sasa wizara ya Ujenzi imeleta bajeti yake hatukuoni ukiitetea ili tupate double lane muendelezo wa iliyoishia njiapanda ya Tegeta Nyuki.
Mzee baba fanya uwaambie Wizara tunahitaji double lane hapa, tunaopanga kukupinga 2025 hii tutaitumia kama pointi ya kukuchallenge.
Act accordingly Mheshimiwa.
Birmingham ya mabwepande!kwanza hongereni kwa kupelekwa Bamingam? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu potential una maana gani?Kweli kabisa, tumechoka na foleni. Watu potential wa nchi hii wote wapo Tegeta, Boko, Ununio, Mbweni, Bunju na bagamoyo kazi kuwasha vingora kukwepa mnyororo! Mabasi ya mikoani yanapitishwa huku alafu barabara finyu!
Sasa ina maana gani mnajenga njia nane huko kimara alafu mnahamishia matatizo bagamoyo Road? Siku hizi foleni zipo Bunju na hakuna dalili za kupanua barabara.
Huyo Si level ya ubunge tena, anaenda Ngazi ya juu.Kwani Gwaji boy ana mpango wa kugombea tena 2025?
Bunju ni mkoa wa PwaniKweli kabisa, tumechoka na foleni. Watu potential wa nchi hii wote wapo Tegeta, Boko, Ununio, Mbweni, Bunju na bagamoyo kazi kuwasha vingora kukwepa mnyororo! Mabasi ya mikoani yanapitishwa huku alafu barabara finyu!
Sasa ina maana gani mnajenga njia nane huko kimara alafu mnahamishia matatizo bagamoyo Road? Siku hizi foleni zipo Bunju na hakuna dalili za kupanua barabara.
Kabisa yaani watu wazito sana wapo barabara hii wenzetu wao wanapita na ving'ola tu ila kina sie tupo tunakomaa na foleni sana asubuhi na jioni tunapoteza muda sana road kuanzia pale Nyuki ...Kweli kabisa, tumechoka na foleni. Watu potential wa nchi hii wote wapo Tegeta, Boko, Ununio, Mbweni, Bunju na bagamoyo kazi kuwasha vingora kukwepa mnyororo! Mabasi ya mikoani yanapitishwa huku alafu barabara finyu!
Sasa ina maana gani mnajenga njia nane huko kimara alafu mnahamishia matatizo bagamoyo Road? Siku hizi foleni zipo Bunju na hakuna dalili za kupanua barabara.
Ilikuwa zamani huko unakokutaja walikuwa watu muhimu za kizazi cha kwanza. Kizazi cha viongozi wa nchi hii wengi hapa dar kwa sasa kimejenga Bunju, Mabwepande, Mbweni nk ukitaka kuelewa nenda kwenye eneo la makazi la Mbweni Oysterbay na Masaki hazioni ndani watu wamefumua vitu vikali na kuna paved streets saafi ila barabara kuu tatizo...Huku kuna Makatibu Wakuu, Wakuu wa Majeshi, Rais, Watoto wa Marais, Wabunge wengi, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Makao ya vyombo vya ulinzi na usalama nkWatu muhimu wa nchi hii tupo, oysterbay, masaki, msasani, mikocheni na mbezi beach, huko kwingine ni kwenye mashamba yetu
Ndugu TODAYS;Mkuu The Palm Beach ndiyo maana ya kuwa na mbunge as mwakilishi wenu, siyo kila mtaa mnakusanyika na kuanza kutembea na mabango kuomba gari la uchafu nk.