mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Wanajua hata huyo aliyetoka k'njaro ni mwenzao na wameshaonyesha mfano usipofuata wanachotaka wao hua adhabu yake ni nini.Wangemuacha Arusha ili ashirikiane na mkurengezi kuipa ccm ushindi
Wanajua hata huyo aliyetoka k'njaro ni mwenzao na wameshaonyesha mfano usipofuata wanachotaka wao hua adhabu yake ni nini.Wangemuacha Arusha ili ashirikiane na mkurengezi kuipa ccm ushindi
acha hisia"siraha"
Silaha
Shana ni tmu anakaribia kustafu na pale CCP hajapelekw kuwa mkuu wa chuo, sawa, anakwenda kuwa mtumishi tu, anasubiri kustaafu tu, hana lake tena,
HR wa chuo banaNani kakwambia kuwa ameenda kuwa mkuu was chuo?? Jamaa ameenda kuwa mnadhimu mkuu was chuo Wala sio mkuu was chuo. Kwa cheo hicho ni sawa tuu na msoma magazeti makao makuu.
Hapana mkuu huo uhamisho ni kama wa adhabu fulani hivi. Ashajua kids na atajutia. Ivi unajua ukiwa RPC ni kikubwa kuliko kuwa chini ya mtu mwingine.Hapa ndipo umekosea kabisa ndugu mtanzania, kwanza umesema pale chuo kutatokea uzao wa ajabu kutokana na kuwepo pale, sasa akiwa kitengo cha silaha si ndiyo tutegemee mahafa makubwa mmh!!
🙄🙄🙄Hapana mkuu huo uhamisho ni kama wa adhabu fulani hivi. Ashajua kids na atajutia. Ivi unajua ukiwa RPC ni kikubwa kuliko kuwa chini ya mtu mwingine.
MNAJIMU NA MNADHIMU Ni mtambukaina maana anakuwa na cheo kama cha MNADHIMU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI ?
Naijua ccp kuliko udhaniavyo. Nimezaliwa kituo Cha afya ccp. Nimeishi ccp miaka yangu yote ya kutegemea wazazi. Tuko 4 ni Mimi peke yangu sio Askari ndug zangu wote kuanzia baba mama + Dada zangu ni askari Tena wenye vyeo vikubwa tuu. Una lolote??unayafaham majukumu ya Mnadhimu wa Chuo?
shana umri bado sana"siraha"
Silaha
Shana ni tmu anakaribia kustafu na pale CCP hajapelekw kuwa mkuu wa chuo, sawa, anakwenda kuwa mtumishi tu, anasubiri kustaafu tu, hana lake tena,
Ndo huyo wanamwita Pindi shana?SHANA
Ni yule jamaa anaecheza taarab na mipasho ya ssisiem akiwa amevaa date za geshi?Rekebisha sio Kashana ni SHANA
Anakua hr pale ccp.nimefunga mjadalaunayafaham majukumu ya Mnadhimu wa Chuo?
Huko ndiko kunamfaa utopolo huyoKutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu!
Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA, Kumpeleka kuwa mkuu wa mafunzo maana yake anaekwenda kuwa mfano wa wanafunzi wa upolisi. Ni Kama vile Kirusi kilikuwa ndani ya Jimbo la Arusha, Sasa kinakwenda kusambaa inchi nzima! Mtakuja kuwalaumu Bure Vijana wataotoka chini ya utawala wake!
JE, ALISTAHILI KUPELEKWA WAPI?
Kamanda Kashana, alistahili kuteuliwa nafas zingine za kisiasa ie; DC, RC au kurejeshwa makao makuuu ya polisi au kuwekwa kikosi maalum Ie; Siraha n.k!
Mbegu atakayokwenda kuipanda kule mtaishuhudia baada ya Mafunzo Uraiani!!
Ni mawazo tu Ngoja TUMWAMINI Anyway!!!
Kama haufahamu majuku ya Staff officer Chuoni uliza nikupe kidogo tu ni kwamba CCP anakuwa mtu wa kushughulika na utawala wa chuo kwa maana ya askari na maofisa waliopo chuoni hafundishi wala haongei na wanachuo labda ni mara moja au tatu mpaka kozi kwisha ogopa mtu anayeitwa CI au Chief Instructor huyo ndiyo ana deal na wanafunzi moja kwa moja. Hivyo IGP yuko sahihi asilimia zote pale anadeal na askari tu wakati RPC anadeal na askari , maofisa na kwa sana wananchi ambao amekuwa akiwaletea kero Arusha lakini akiwa ndani ya uzio wa CCP hakamati mtu yeyote labda kwa sababu na kazi maalum atakazoagizwa na viongozi wake.Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu!
Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA, Kumpeleka kuwa mkuu wa mafunzo maana yake anaekwenda kuwa mfano wa wanafunzi wa upolisi. Ni Kama vile Kirusi kilikuwa ndani ya Jimbo la Arusha, Sasa kinakwenda kusambaa inchi nzima! Mtakuja kuwalaumu Bure Vijana wataotoka chini ya utawala wake!
JE, ALISTAHILI KUPELEKWA WAPI?
Kamanda Kashana, alistahili kuteuliwa nafas zingine za kisiasa ie; DC, RC au kurejeshwa makao makuuu ya polisi au kuwekwa kikosi maalum Ie; Siraha n.k!
Mbegu atakayokwenda kuipanda kule mtaishuhudia baada ya Mafunzo Uraiani!!
Ni mawazo tu Ngoja TUMWAMINI Anyway!!!
Wewe ni afande wa wapi ?Nani kakwambia kuwa ameenda kuwa mkuu was chuo?? Jamaa ameenda kuwa mnadhimu mkuu was chuo Wala sio mkuu was chuo. Kwa cheo hicho ni sawa tuu na msoma magazeti makao makuu.
Soma post yangu vizur mkuuWewe ni afande wa wapi ?
Post yako haijibu swali languSoma post yangu vizur mkuu