Hoja: Madhara ya RPC Shana kubaki Arusha yalikuwa ni madogo ukilinganisha na alipopelekwa Chuo cha Mafunzo Polisi

Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu!

Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA, Kumpeleka kuwa mkuu wa mafunzo maana yake anaekwenda kuwa mfano wa wanafunzi wa upolisi. Ni Kama vile Kirusi kilikuwa ndani ya Jimbo la Arusha, Sasa kinakwenda kusambaa inchi nzima! Mtakuja kuwalaumu Bure Vijana wataotoka chini ya utawala wake!

JE, ALISTAHILI KUPELEKWA WAPI?

Kamanda Kashana, alistahili kuteuliwa nafas zingine za kisiasa ie; DC, RC au kurejeshwa makao makuuu ya polisi au kuwekwa kikosi maalum Ie; Siraha n.k!

Mbegu atakayokwenda kuipanda kule mtaishuhudia baada ya Mafunzo Uraiani!!

Ni mawazo tu Ngoja TUMWAMINI Anyway!!!

Let’s assume ni kweli amekwenda kuwa mkuu wa mafunzo. Huoni kuwa hiyo nafasi ni ya kiutawala zaidi kuliko utoaji wa direct instructions kwa police students? Nadhani kazi ya mkuu wa mafunzo ni kuratibu shughuli za mafunzo na sio kutoa mafunzo per se.
 
Sasa Akiratibu Mafunzo yaende kombo, hao Instructor si watatekeleza tu!
 
Kujipendekeza note kule kaishia CCP ambako hakuna maslahi wala nini....safi kabisa
 
Sasa Akiratibu Mafunzo yaende kombo, hao Instructor si watatekeleza tu!

Yaani unachosema wewe ni sawa na kusema unprofessionalism ya deputy vice chancellor wa taaluma itasababisha wanachuo watakaosoma kipindi ambacho yeye anashikilia nafasi hiyo kuwa unprofessional. Unaona hii inaleta mantiki?
 
Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu!

Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA, Kumpeleka kuwa mkuu wa mafunzo maana yake anaekwenda kuwa mfano wa wanafunzi wa upolisi. Ni Kama vile Kirusi kilikuwa ndani ya Jimbo la Arusha, Sasa kinakwenda kusambaa inchi nzima! Mtakuja kuwalaumu Bure Vijana wataotoka chini ya utawala wake!

JE, ALISTAHILI KUPELEKWA WAPI?

Kamanda Kashana, alistahili kuteuliwa nafas zingine za kisiasa ie; DC, RC au kurejeshwa makao makuuu ya polisi au kuwekwa kikosi maalum Ie; Siraha n.k!

Mbegu atakayokwenda kuipanda kule mtaishuhudia baada ya Mafunzo Uraiani!!

Ni mawazo tu Ngoja TUMWAMINI Anyway!!!
Usikilize vizuri,
Ameunda kuwa HR,meneja rasilimali watu,sio Mkuu wa chuo,
 
Uliota au?
when Baboon is about to die, miti huanza kutelezaa, Shana alionyesha kila dalili za kupendwa na muumba, kapendwa zaidi.

Matendo yake yamfuate, kamwe sitompangia Mungu pa kuweka mazao yake.
anajua pa kumuweka turky , anajua pa kumuweka Shana
 
baboon kwa kiswahili ndo tunaitaje vile?
 
Nani kakwambia kuwa ameenda kuwa mkuu was chuo?? Jamaa ameenda kuwa mnadhimu mkuu was chuo Wala sio mkuu was chuo. Kwa cheo hicho ni sawa tuu na msoma magazeti makao makuu.
Hakuna aliposema ameenda kuwa mkuu wa Chuo!! Amesema ameenda kuwa mkufunzi mkuu.
Halafu andika vizuri sasa kijana.
 
Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu!

Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA, Kumpeleka kuwa mkuu wa mafunzo maana yake anaekwenda kuwa mfano wa wanafunzi wa upolisi. Ni Kama vile Kirusi kilikuwa ndani ya Jimbo la Arusha, Sasa kinakwenda kusambaa inchi nzima! Mtakuja kuwalaumu Bure Vijana wataotoka chini ya utawala wake!

JE, ALISTAHILI KUPELEKWA WAPI?

Kamanda Kashana, alistahili kuteuliwa nafas zingine za kisiasa ie; DC, RC au kurejeshwa makao makuuu ya polisi au kuwekwa kikosi maalum Ie; Siraha n.k!

Mbegu atakayokwenda kuipanda kule mtaishuhudia baada ya Mafunzo Uraiani!!

Ni mawazo tu Ngoja TUMWAMINI Anyway!!!
Now, R. I. P
 
Back
Top Bottom