Hoja: Madhara ya RPC Shana kubaki Arusha yalikuwa ni madogo ukilinganisha na alipopelekwa Chuo cha Mafunzo Polisi

Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu!

Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA, Kumpeleka kuwa mkuu wa mafunzo maana yake anaekwenda kuwa mfano wa wanafunzi wa upolisi. Ni Kama vile Kirusi kilikuwa ndani ya Jimbo la Arusha, Sasa kinakwenda kusambaa inchi nzima! Mtakuja kuwalaumu Bure Vijana wataotoka chini ya utawala wake!

JE, ALISTAHILI KUPELEKWA WAPI?

Kamanda Kashana, alistahili kuteuliwa nafas zingine za kisiasa ie; DC, RC au kurejeshwa makao makuuu ya polisi au kuwekwa kikosi maalum Ie; Siraha n.k!

Mbegu atakayokwenda kuipanda kule mtaishuhudia baada ya Mafunzo Uraiani!!

Ni mawazo tu Ngoja TUMWAMINI Anyway!!!
Mwenyezi Mungu fundi. Ametuepushia balaa kubwa ambalo huyu bwana angelitengeneza kwa vijana wetu huko Moshi
 
Mungu apongezwe pia hata wanapoharibika maana anakuwa ameamua waharibike,au vipi kamanda????
 
Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu!

Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA, Kumpeleka kuwa mkuu wa mafunzo maana yake anaekwenda kuwa mfano wa wanafunzi wa upolisi. Ni Kama vile Kirusi kilikuwa ndani ya Jimbo la Arusha, Sasa kinakwenda kusambaa inchi nzima! Mtakuja kuwalaumu Bure Vijana wataotoka chini ya utawala wake!

JE, ALISTAHILI KUPELEKWA WAPI?

Kamanda Kashana, alistahili kuteuliwa nafas zingine za kisiasa ie; DC, RC au kurejeshwa makao makuuu ya polisi au kuwekwa kikosi maalum Ie; Siraha n.k!

Mbegu atakayokwenda kuipanda kule mtaishuhudia baada ya Mafunzo Uraiani!!

Ni mawazo tu Ngoja TUMWAMINI Anyway!!!
Mwenyezi Mungu ameshafanya yake kabla hajaleta madhara.
 
Back
Top Bottom