Hoja na maswali utata kwenye uumbwaji wa mwanadamu katika imani ya Kikristo. Je, wenzetu imani zao zinasemaje?

U
Puuzi mtupu wa makanisani ..mnadanganywa kipumbavu sana na wahuni wakina gamanywa na wezi wenziw😕😕😕
 
U

Puuzi mtupu wa makanisani ..mnadanganywa kipumbavu sana na wahuni wakina gamanywa na wezi wenziw😕😕😕
Kanisa gani ulilowahi kwenda ukakuta wanafundisha hayo mambo niliyoandika? Au imani gani ya dini ambayo inapingana na kauli yako ya mwanaume ndio kichwa cha familia or whatever? Sijawahi kuandika mambo ya kanisani wala msikitini tangu nijiunge hapa jukwaani mkuu, lakini nilichokuambia ndio uhalisia iwe unakubali Au hautaki.
 
Kumbadili mtu imani ni ngumu mkuu so wewe na mimi tutabishana sana na hatuwezi kufikia muafaka.

Mimi imani nnayo ila haijawahi nifunga wala kunipa ukomo wa kutafuta ukweli wa mambo.

Wewe umesema yote yaliyopo ni nadhalia maybe yes but hizo nadhalia karibia zote ni za kipuuzi so hakuna hata moja yenye uwezo wa kuunganisha puzzle zilizomisi ili kumfanya mtu auelekee ukweli.

Mimi nnachoamini ni fikra zangu tu pekee, sijui ukifanya meditation huwa utulivu wako unakaa juu ya jambo gani ila mimi kila nikiunganisha hizi puzzle naona kabisa kuna jambo haliko sawa na kuna fact nyingi sana so wacha nitulie nitakuja na uzi ili tuweze kueleweshana kwa hoja vizuri... wacha tuupe nafasi huu uzi wa jamaa ubaki kwenye lengo la maswali yake.
 
Wewe upo dhehebu gani ...ukisha tiishwa kwenye madhehebu tayari upo mikononi mwa matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…