Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
U
Puuzi mtupu wa makanisani ..mnadanganywa kipumbavu sana na wahuni wakina gamanywa na wezi wenziw😕😕😕Simply ni kwamba shoga ni mwanaume anaetamani kuwa mwanamke lakini sheria ya ulimwengu ni kwamba mwanamke hujifungua ila shoga hajifungui kwasababu mfumo unamkataa kwahiyo mwanaume hata aigize vipi kuwa mwanamke hawezi kuwa mwanamke kwa maana kuna sifa za asili ya uumbaji wa mwanamke atazikosa... anyways.
Na mimi sijazungumzia tabia ila nimezungumzia nguvu nne za asili ya uumbaji wa ulimwengu na ndio ambazo nimezitaja kwenye andiko langu hapo juu na ukituliza akili na kusoma vizuri utaona kuna pahala nimekuwekea msisitizo ya kwamba nguvu mbili ya usaidizi na maono au uwezo wa kutengeneza mawazo yenye tija huwa ni asili ya nani na nani kutokana na uumbaji na ni kwanamna gani hizi nguvu baadae zilikuja kuvurugika na kuanza kutokea kiprobability.