Hoja ya kuongezewa muda wa Rais kubakia madarakani itaendelea kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

Akiwagurahisha WAGANGA NJAA SANA TU
 
Wale waislamu wa siasa kali waliojificha kipindi cha Magu wameanza kurudi.
Alibaki Pohamba peke yake.
Bigshow,Faiza,Ritz,Rejao..watarudi tena kwa kasi kubwa zaidi

Duuh,waislam wenye siasa kali wanakuaje kuaje Mkuu,

We are just muslims.
 
Long time brother.

Asalam Alaykm
 
Yah kabisa, nilitofautiana na mitazamo mingi ya marehem lakini sikupenda afe, nilitamani kuona akibadilika lakini ndiyo hivyo tena..

Mimi nahisi angekuwa worse tu. Ile kubadili katiba nahisi ingefuata.. watu wangeufyata kabisaa kumuacha afanye anavyopenda. Watanzania tulishakuwa waoga mno kwake masikini!
 
Hivi na wale waliojenga nyumba Chato ambako siyo kwao wala si ofisini kwao , walijenga tu kwa vile aliye madarakani ndio kwao na kwa vile kulikuwa na mpango wa mitano tena , je sasa wataenda kujenga nyumba zingine mwanakwerekwe ?
 
Walifanya calculations vibaya.,totally wrong calculations.
 
Ukomo ni Miaka 10.Unatosha Waliouweka hawakuwa Wapumbavu
 
Mimi nahisi angekuwa worse tu. Ile kubadili katiba nahisi ingefuata.. watu wangeufyata kabisaa kumuacha afanye anavyopenda. Watanzania tulishakuwa waoga mno kwake masikini!
Kwa kweli kwali situation ilikuwa inazorota day after day, nahisi ilikuwa tunaelekea kwenye 'mkwamo wa karne'.

Bora tuanzie hapa, japo kuna kazi 'nzito' ya kufanya kurejea pale tulipokuwa, kila sekta imevurugwa ukianzia na siasa, kilimo, elimu, afya, uchumi, ulinzi, ajira, utumishi, biashara, diplomasia, uongozi nk nk dah sijui hata huyu Madam anaanzia wapi aisee.

Kwa hapa tulipofikia iawezekana urais ukawa ni mgumu kwa mtu mwenye maono ya kuiendeleza nchi kuliko kipindi chochote kile katika history ya nchi hii.
 
Na nna hisi hiko ndicho kilichomuondoa mwamba wetu...hawakutaka kabisa kitokee
 
Bora tu iongelewe mapema, Africa imekuwa na huu upumbavu wa kucheza na katiba kadri watawala wanavyotaka kama toilet paper
Mkiongea sana hii hoja watakufa kabla ya kumaliza terms jamani. Iacheni hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…