THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
- #101
Wangeweza kufikilia hilo wasingejaribu kumuongezea hata mwaka. Tatizo walimchukulia kamungu mtu ambacho akiwezi kufa.
Hawakuwaza,mungu ni mkali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangeweza kufikilia hilo wasingejaribu kumuongezea hata mwaka. Tatizo walimchukulia kamungu mtu ambacho akiwezi kufa.
Akiwagurahisha WAGANGA NJAA SANA TUAwali ya yote tupeane pole kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na Mh Rais John Pombe Magufuli,hakika hayakuwa haya maisha ya dunian ila ni kitu chenye kupita tu.
Hapa karibuni kulikuwa na hoja ya kumuongezea muda wa kubakia madarakani Mh Rais John Pombe Magufuli na wengine wakaenda mbali na kusema kwamba akikataa tumlazimishe, pasipo na kujua kwamba ahadi ya uhai na maisha siri hii ipo kwa Mwenyezi Mungu. Leo hayupo Tena kwenye mgongo wa ardhi, hayupo tena. He is very dead and very gone!
Je, wale wahafidhina wa mitano Tena na kuongezwa kwa muda wa kukaa RAIS MADARAKANI, wataendelea na HOJA hii kwa MH RAIS Mama SAMIA SULUHU au walii-personalise kwa Hayati Mh RAIS Magufuli?
Aongezewe au Asiongezewe.
Wale waislamu wa siasa kali waliojificha kipindi cha Magu wameanza kurudi.
Alibaki Pohamba peke yake.
Bigshow,Faiza,Ritz,Rejao..watarudi tena kwa kasi kubwa zaidi
Long time brother.Awali ya yote tupeane pole kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na Mh Rais John Pombe Magufuli,hakika hayakuwa haya maisha ya dunian ila ni kitu chenye kupita tu.
Hapa karibuni kulikuwa na hoja ya kumuongezea muda wa kubakia madarakani Mh Rais John Pombe Magufuli na wengine wakaenda mbali na kusema kwamba akikataa tumlazimishe, pasipo na kujua kwamba ahadi ya uhai na maisha siri hii ipo kwa Mwenyezi Mungu. Leo hayupo Tena kwenye mgongo wa ardhi, hayupo tena. He is very dead and very gone!
Je, wale wahafidhina wa mitano Tena na kuongezwa kwa muda wa kukaa RAIS MADARAKANI, wataendelea na HOJA hii kwa MH RAIS Mama SAMIA SULUHU au walii-personalise kwa Hayati Mh RAIS Magufuli?
Aongezewe au Asiongezewe.
Ndipo tatizo lilipoanzia hapo.hawakuwaza kabisaHawakuwaza,mungu ni mkali sana
Yah kabisa, nilitofautiana na mitazamo mingi ya marehem lakini sikupenda afe, nilitamani kuona akibadilika lakini ndiyo hivyo tena..
Hivi na wale waliojenga nyumba Chato ambako siyo kwao wala si ofisini kwao , walijenga tu kwa vile aliye madarakani ndio kwao na kwa vile kulikuwa na mpango wa mitano tena , je sasa wataenda kujenga nyumba zingine mwanakwerekwe ?Awali ya yote tupeane pole kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na Mh Rais John Pombe Magufuli,hakika hayakuwa haya maisha ya dunian ila ni kitu chenye kupita tu.
Hapa karibuni kulikuwa na hoja ya kumuongezea muda wa kubakia madarakani Mh Rais John Pombe Magufuli na wengine wakaenda mbali na kusema kwamba akikataa tumlazimishe, pasipo na kujua kwamba ahadi ya uhai na maisha siri hii ipo kwa Mwenyezi Mungu. Leo hayupo Tena kwenye mgongo wa ardhi, hayupo tena. He is very dead and very gone!
Je, wale wahafidhina wa mitano Tena na kuongezwa kwa muda wa kukaa RAIS MADARAKANI, wataendelea na HOJA hii kwa MH RAIS Mama SAMIA SULUHU au walii-personalise kwa Hayati Mh RAIS Magufuli?
Aongezewe au Asiongezewe.
Wachumia tumbo bado wanasikilizia upepo wa Madam kama ataendelea kuwabeba basi na wao watendelea kupendekeza aongezewe muda.
Mzee alishachemka siku mingi
Long time brother.
Asalam Alaykm
Hivi na wale waliojenga nyumba Chato ambako siyo kwao wala si ofisini kwao , walijenga tu kwa vile aliye madarakani ndio kwao na kwa vile kulikuwa na mpango wa mitano tena , je sasa wataenda kujenga nyumba zingine mwanakwerekwe ?
Ukomo ni Miaka 10.Unatosha Waliouweka hawakuwa WapumbavuAwali ya yote tupeane pole kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na Mh Rais John Pombe Magufuli,hakika hayakuwa haya maisha ya dunian ila ni kitu chenye kupita tu.
Hapa karibuni kulikuwa na hoja ya kumuongezea muda wa kubakia madarakani Mh Rais John Pombe Magufuli na wengine wakaenda mbali na kusema kwamba akikataa tumlazimishe, pasipo na kujua kwamba ahadi ya uhai na maisha siri hii ipo kwa Mwenyezi Mungu. Leo hayupo Tena kwenye mgongo wa ardhi, hayupo tena. He is very dead and very gone!
Je, wale wahafidhina wa mitano Tena na kuongezwa kwa muda wa kukaa RAIS MADARAKANI, wataendelea na HOJA hii kwa MH RAIS Mama SAMIA SULUHU au walii-personalise kwa Hayati Mh RAIS Magufuli?
Aongezewe au Asiongezewe.
Kwa kweli kwali situation ilikuwa inazorota day after day, nahisi ilikuwa tunaelekea kwenye 'mkwamo wa karne'.Mimi nahisi angekuwa worse tu. Ile kubadili katiba nahisi ingefuata.. watu wangeufyata kabisaa kumuacha afanye anavyopenda. Watanzania tulishakuwa waoga mno kwake masikini!
Atakufa pia na kumwachia wa chini yakeTunasubiri tuone kama utawala wa mama utayanufaisha matumbo yetu tutamkomalia mitano tena atake hasitake
Na nna hisi hiko ndicho kilichomuondoa mwamba wetu...hawakutaka kabisa kitokeeAwali ya yote tupeane pole kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na Mh Rais John Pombe Magufuli,hakika hayakuwa haya maisha ya dunian ila ni kitu chenye kupita tu.
Hapa karibuni kulikuwa na hoja ya kumuongezea muda wa kubakia madarakani Mh Rais John Pombe Magufuli na wengine wakaenda mbali na kusema kwamba akikataa tumlazimishe, pasipo na kujua kwamba ahadi ya uhai na maisha siri hii ipo kwa Mwenyezi Mungu. Leo hayupo Tena kwenye mgongo wa ardhi, hayupo tena.
Je, wale wahafidhina wa mitano Tena na kuongezwa kwa muda wa kukaa RAIS MADARAKANI, wataendelea na HOJA hii kwa MH RAIS Mama SAMIA SULUHU au walii-personalise kwa Hayati Mh RAIS Magufuli?
Aongezewe au Asiongezewe.
Mkiongea sana hii hoja watakufa kabla ya kumaliza terms jamani. Iacheni hoja.
vp korosho znauzwa bei gan huko!Mgodo Mgodoki
Nipo, Magufuli alinikwaza kwenye suala la Korosho tuh, hayo mengine sina comment