#COVID19 Hoja za Askofu Gwajima wameshindwa kuzijibu

Mzee umeandika nini sasa!?
 
Hivi Tanzaniania hatuna wataalamu wa kinga na tiba kabisa wakaweza kudadavua na kuweka bayana sababu za kwa nini chanjo isitiliwe shaka?
Au ndio wataalamu wetu hawa njaa kali wanaendeshwa na wanasuasa!
Kwa nini hoja za Gwajima zisijibiwe? Kama hakuna mwenye majibu, kwa nini tusikubaliane na Gwajima badala ya kumwita mpotoshaji?
Nakazia: Kwa nini ukichanjwa chanjo ya corona bado unaweza kuambukizwa, kuambukiza na hata kuugua corona?
 
Asante. Nime some immunology na molecular ila kukumbushana ni vizuri.
 
Yes.
 
Hatuna wataalamu wa afya, wamekariri maandishi ya vitabuni tu.
 
Asante. Nime some immunology na molecular ila kukumbushana ni vizuri.
Turudi sasa kwenye chanjo ya korona, kuhusu gene!? Kwanza unajua Gene ni kitu gani!? Je, ni protein au kitu gani!?
 
Pole sana...

Hongera Mfuasi wa Gwajima... Wafuasi wenzako wa Kibwetele walikuwa kama wewe tu!!!
Mzee mbona vitu simpo tu.
Swala ni:
1. Kwanini unapotaka kuchanjwa unajaza fomu!?

2. Je ni zipi side effects za short term and long term!?

3. Kwanini ukichanjwa unaendelea kuvaa barakoa!?
 
Public health personnel? Kwani wao wanatengeneza chanjo? Gwajima ameifanya kazi ya Mungu ya kueleza ukweli! Hoja kuu mbili za Gwajima pamoja na wanasayansi wote duniani wanaojitambua hizijibiki kabisa kwa sasa kwa sababu huwa zinajibiwa pale tu mtiririko wahatua za kutengeneza chanjo salama na bora zinazofuata! Salama kwa maana leo na baadae! Na bora kwa maana ya kukinga ugonjwa na maambukizi husika! Sasa hizi chanjo zote zinazochanjwa kwa covid-19 zimeshajipambanua kuwa na madhara ya muda mfupi na hatujui ya muda wa baadae maana hiyo inasubiri matokeo ya panya binadamu waliochanjwa! Hivyo kwenye usalama kuna sintofahamu nyingi sana! Kwenye ubora napo zimeshindwa kuzuia maambukizi na ugojwa kuwapata waliochanjwa na hivyo ubora wake kutiliwa shaka! Hii imetokana na kujibadiribadiri kwa kirusi chenyewe! Kwa majumuisho kwa mtazamo wangu na wanasayansi wote duniani wanaojitambua, covax siyo salama na pia siyo bora!
Gwajima pamoja na kuwa ni msomaji na mfuatiliaji wa mambo mzuri, anapata consultation za kitaalamu na hivyo kumfanya kustahili kuhoji kama anavyoendelea kuhoji!
 
Nilisema pale mwanzo gene ni loci ambayo ime beba specific DNA ambazo zina code a specific protein
Turudi sasa kwenye chanjo ya korona, kuhusu gene!? Kwanza unajua Gene ni kitu gani!? Je, ni protein au kitu gani!?
I
 
Mzee mbona vitu simpo tu.
Swala ni:
1. Kwanini unapotakwa kuchanjwa unajaza fomu!?

2. Je ni zipi side effects za short term and long term!?

3. Kwanini ukichanjwa unaendelea kuvaa barakoa!?
Akikujibu kwa ufasaha nitag!
 
Your browser is not able to display this video.

Waone waumini mazezeta wengine wa Askofu Gwajima. Bila hawa baada ya maneno makali ya Askofu wakaamua kuingia mtaani kabisa! Waumini mazezeta bwana!
 
Ndg acha kukariri! Covax zote hazizuii mtu asipate maambukizi na ugonjwa wa covid-19!
Matokeo ya utafiti wa awali unaonyesha wote waliochanjwa na wasiochanjwa wanapata maambukizo mapya, wanaugua covid-19 na wengine hata kufa bila kujali status ya chanjo! Pfizer iliyokuwa inajinasibu angalau kukingakinga imebainika baada ya 6 months tangu udungwe inachuja kabisa!
Kwa kifupi they are neither safe nor effective at prevention of covid-19!
Tusichoshane kupigiana kelele za kuchanjwa!
Tena kuna haja ya kufuatilia hivyo vifo vinavyodaia vya covid-19 tz isijekuwa ndio wale waliochepuka kwenda kuchanjwa nje ya nchi ndio madhara ya hizo chanjo zao zinawavuna!
 
a
View attachment 1876694
Waone waumini mazezeta wengine wa Askofu Gwajima. Bila hawa baada ya maneno makali ya Askofu wakaamua kuingia mtaani kabisa! Waumini mazezeta bwana!
Acha kuita mazezeta watu wenye akili timamu...kama vipi ww kachanje na muda ndio hakimu wa kweli...tutakuja kujua nani kati yetu atakuwa zombie 5years down the line!
 
Wewe u
View attachment 1876694
Waone waumini mazezeta wengine wa Askofu Gwajima. Bila hawa baada ya maneno makali ya Askofu wakaamua kuingia mtaani kabisa! Waumini mazezeta bwana!
Wewe unafikiri Ulaya hakuna mazezeta? Hawa si ndio wanaandika maugoro kwenye ma blog na kutengeneza propaganda za kienyeji kwa kutumia bulb zenye switch kwa chini eti ukiweka bega la aliyochanjwa inawaka? Hawa ndio anasoma makala zao za kizezeta na anakuja kuwalishi misukule inayomsikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…