Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Venus star ,Kama alivyo ,nakufuta, kuanzia unyayo wako ,kiuno,kifua, mpaka kichwa, nafufuta ukaribu KILA iliye karibu nawe, thanks my Lord, nakufuta KILA pembe ya dunia,kusini,kaskazin, magharibi, mashariki ,na imekua, Katie sadaka popote KWa wasiojiweza ,wasiopungua 147, nimemaliza na tumemalizana
Acha kulia lia, nenda kadungwe machanjo!Mkuu, taratibu ndugu yangu. Gwajima huyuhuyu aliyekuwa anahusisha 5G Network na Covid ndio hero wako? Really? Huyu Mchungaji, ambae amegeuka mwanasiasa na ambae akiumwa leo anahudumiwa na Bima ya Serikali? Huyu ndie unamuamini kwamba maelezo yake kuhusu madhara ya Covid 19 Yana make sense kuliko wanasayansi bingwa duniani? Pengine wewe ni mfuasi wa kanisa lake ndio maana unamigia tarumbeta.
Pamoja na elimu yangu ndogo niliyonayo, kamwe Gwajima hawezi kuwa source of information kuhusu haya maradhi. Hata kidogo. Kama angekuwa anaamini anachikisema, angejiondoa CCM ili aendeleze mapambano yake dhidi ya corona. Lakini namuona ameanza kubadilisha kauli zake. Anapenda attention na power. Hana lolote
Hakuna dawa isiyokuwa na madhara. Tumekunywa sana Cloroquine hapo zamani kutibu Malaria. Wengi tulipona, lakini wapo wachache ambao walifariki au kuwa vichaa as side effects. Wengine waliwashwa mwili mzima mpaka wanatia huruma. Waulize watu wanaotibiwa Cancer kwa kutumia chemotherapy watakueleza madhara yake. Kuwashauri watu kwamba afadhali ufe kwa corona kuliko kuchanjwa sio ubinadamu hata kidogo. Haswa ushauri huo unapotolewa na mtu mwenye uwezo kama Gwajima.
Binafsi simuhitaji mhubiri na mpenda sifa kama Gwajima kuamua kama ntachanjwa au la. Ninachojuwa ni kwamba Corona ipo na imeua watu wengi sana. Dada yangu anafanyakazi kwenye nyumba za kuhudumia wazee huko Canada. Ananiambia kwamba kati ya mwezi March na August mwaka Jana, zaidi ya wazee elfu 10 walifariki kwa Corona. Mortuary ziliishiwa na nafasi kutokana na wingi wa vifo.
Chanzo zilipofika wakaanzwa hao wazee (the most vulnerable). Sasa hivi vifo vimepungua kwa asilimia 99. Upo uwezekano mkubwa kwamba chanjo za corona zikawa na madhara, lakini ni dhahiri kwamba hii chanjo inatibu.
Gwajima Hana tofauti na wale masheikh njaa kule Nigeria waliokuwa wanawahamasisha waumini wao kuwadhuru manesi waliokuwa wanaenda vijijini kutoa chanjo ya Polio. Bahati nzuri, Dola (Central Government) ya Tanzania ipo imara.
Kama unasoma tafiti hutaungana naye.
Ninachoongelea ni mimi mgonjwa, ni wapi ninapotia sahihi kwenye consent form ninapoenda kupima maralia, au ninapoandikiwa panadol kuondoa liabilities zote kwa hospitali/ serikali kwa matibabu nitakayopewa ? Hiyo conset form wameteleza kuiweka, ukiangalia hali halisi ya acceptance ya chanjo ipo chini halafu wameongezea kitu kinachowapa sababu wale wanaokataa chanjo kuendelea kuikataa !Ni wapi huko daktari anaandika dawa bila sahihi?
Kwanza jifunze kusimama na Mungu ama ukweli usisimame na mtu....Askofu Gwajima alitoa hoja nzito na anaendelea kutoa hoja nzito.
Akina Kigwangala na wenzake wanakuja na hoja nyepesi. Wengine wanakuja na hoja za kitoto eti Gwajima afukuzwe oh! Auliwe. Ni upuuzi.
1. Hoja ya kwanza kwanini chanjo zingine hazina fomu ya kujaza. Lakini chanjo ya korona unajaza fomu!?
2. Serikali ilisema ni hiari, kwanini sasa wanalazimisha watu kuchanja!?
3. Ni effects zipi za muda mfupi na muda mrefu zitakazotokea baada ya kuchanjwa!?
4. Hizi chanjo hazizuii korona mpaka uchanje mara kibao.
MIMI NITASIMAMA NA GWAJIMA.
Gwajima hana jipya.Mkuu, taratibu ndugu yangu. Gwajima huyuhuyu aliyekuwa anahusisha 5G Network na Covid ndio hero wako? Really? Huyu Mchungaji, ambae amegeuka mwanasiasa na ambae akiumwa leo anahudumiwa na Bima ya Serikali? Huyu ndie unamuamini kwamba maelezo yake kuhusu madhara ya Covid 19 Yana make sense kuliko wanasayansi bingwa duniani? Pengine wewe ni mfuasi wa kanisa lake ndio maana unamigia tarumbeta.
Pamoja na elimu yangu ndogo niliyonayo, kamwe Gwajima hawezi kuwa source of information kuhusu haya maradhi. Hata kidogo. Kama angekuwa anaamini anachikisema, angejiondoa CCM ili aendeleze mapambano yake dhidi ya corona. Lakini namuona ameanza kubadilisha kauli zake. Anapenda attention na power. Hana lolote
Hakuna dawa isiyokuwa na madhara. Tumekunywa sana Cloroquine hapo zamani kutibu Malaria. Wengi tulipona, lakini wapo wachache ambao walifariki au kuwa vichaa as side effects. Wengine waliwashwa mwili mzima mpaka wanatia huruma. Waulize watu wanaotibiwa Cancer kwa kutumia chemotherapy watakueleza madhara yake. Kuwashauri watu kwamba afadhali ufe kwa corona kuliko kuchanjwa sio ubinadamu hata kidogo. Haswa ushauri huo unapotolewa na mtu mwenye uwezo kama Gwajima.
Binafsi simuhitaji mhubiri na mpenda sifa kama Gwajima kuamua kama ntachanjwa au la. Ninachojuwa ni kwamba Corona ipo na imeua watu wengi sana. Dada yangu anafanyakazi kwenye nyumba za kuhudumia wazee huko Canada. Ananiambia kwamba kati ya mwezi March na August mwaka Jana, zaidi ya wazee elfu 10 walifariki kwa Corona. Mortuary ziliishiwa na nafasi kutokana na wingi wa vifo.
Chanzo zilipofika wakaanzwa hao wazee (the most vulnerable). Sasa hivi vifo vimepungua kwa asilimia 99. Upo uwezekano mkubwa kwamba chanjo za corona zikawa na madhara, lakini ni dhahiri kwamba hii chanjo inatibu.
Gwajima Hana tofauti na wale masheikh njaa kule Nigeria waliokuwa wanawahamasisha waumini wao kuwadhuru manesi waliokuwa wanaenda vijijini kutoa chanjo ya Polio. Bahati nzuri, Dola (Central Government) ya Tanzania ipo imara.
Mzee wewe nenda kadungwe yaishe mbona kelele nyingi.Gwajima hana jipya.
Maswali yake amekopi na kupesti kwa hao hao wazungu.
Wazungu wameulizana sana hayo maswali ya Gwajima. Na huko kwa wazungu bado wanauliza sana lakini sayansi sio kama dini mtu anaweza kufanya utafiti na kujua kama zina sumu au hazina.
Gwajima amekua Kama Kibwetere. Atapeta maafa makubwa sana kama ataendelea kuchochea watu kwenye mikutano na mikusanyiko yake kipindi hiki cha Korona.
Huwezi kuwa Mhubiri au Askofu halafu unashindwa kuhubiri habari za toba badala yake unatumia muda mwingi kuzungumzia siasa kwenye Taifa lililojaa Wazinzi ,walevi,wauaji, watu wanaoua waume zao au wake zao, watu wasioheshimu baba zao na mama zao, watu wanaotukana hovyo , watu wanaofanya biashara za vitu feki ,riba kubwa inayopira vipato vya watu, watu wasiowapenda majirani, watu wala rushwa, walawiti, mashoga, washirikina maRPC wanaobambika watu kesi, watu wenye chuki ,waonevu, mawaziri na watawala wasiolipa kodi na wote waliojaa maovu kwenye mioyo yao .
Sio watu wote wanaoweza kutembea juu ya maji kama YESU hivyo kuwaambia watu wasipande botia au meli kwa sababu tu YESU alitembea juu ya maji ni kuwadanganya huku ukijua kuwa watazama kwa sababu hawana imani kubwa.
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Mzee nadhani umekua juzi juzi. Kifupi nenda kadungwe. Muda ni Mwalimu mzuri sana.Shida ni kwamba, hayuko tayari kujifunza, ana majibu yake kichwani. Hata akijibiwa atakuja na maswali mengine tena.
Ni kawaida ya vitu vipya, hata ARV watu walizikataa mapema tu, walipoona wenzao afya zinaimalika wakati wao wanabaki na kilo 2, walikubali. Leo hakuna ubishi wa ARV
unaleta umbea tu hapa,kma ni kweli kaibomoa si atakuwa anataka ajenge kubwa zaidi...au ndogo au kapata Raman nzur zaidi?na pesa pia ni ZAKE...NYIE NDIO WATU ,MTU AKIPATA PESA KIDOGO MTAANI MNAANZA MWITA FREEMASONNasikia kuna watu wamekula pesa ndefu. Mkuu wa usalama, alikuwa anajenga Nyumba Mbweni kaiangusha(Kaibomoa) Kaambiwa hiyo nyuma siyo hadhi yake.
Kapiga pesa ndefu sasa hivi anajenga nyingine.
Kwani wao hawafi na hiyo Corona?Wanafaidika sana hawa wahuni na huu uharamia unaoendelea.
Minyumbu ya sadaka ndiyo itakayoangamia.
Wao hawana habari wanakula BATA
Hajielewi huyu...Unawaita uchwara wakati ukiugua unawaendea ukilalama. Acha dharau, " unatukana wakunga wakati uzazi ungalipo"
Hamna shida... mimi ikifika zamu yangu nitachoma.Mzee nadhani umekua juzi juzi. Kifupi nenda kadungwe. Muda ni Mwalimu mzuri sana.
Kwani wanaenda kwa zamu Mzee. Jiandikishe online.Hamna shida... mimi ikifika zamu yangu nitachoma.
Muda utaongea
Hoja za kiswahili hizo anasoma kwenye viblog vya udaku.
Anatakiwa kwanza asome vizuri molecular biology aijue vizuri DNA na RNA jinsi zinavyoreplicate
Anatakiwa ajifunze vizuri amuelewe VIRUS na tabia zake na hinsi anavyoweza kutumia mwili wa host kuzsliana huku akulipua seli za host
Anatakiwa ajue chanjo zinazotengenezwa na MESSENGER RNA zinafanyaje kazi. Sio kila kitu kujifanya anajua wakati hajui na hawezi kujua tatizo kapata waumini mazezeta wanashangilia tu maujinga anayoongea
Na huyu Gwajima kudhibitisha yeye ni boya ni kudanganya watu kuwa anafufua maiti,alionyesha kwenye video moja anamfufua mtu aliyekufa,sasa kama ana uwezo huo si angemfufua mwendazake basi aliyempa ubunge ili tumuamini maneno yake? Siyo kutumia nguvu nyingi kuhubiri uongo huku jasho la kwapa likimtoka kama kabeba mzigo wa kuni.Askofu Gwajima alitoa hoja nzito na anaendelea kutoa hoja nzito.
Akina Kigwangala na wenzake wanakuja na hoja nyepesi. Wengine wanakuja na hoja za kitoto eti Gwajima afukuzwe oh! Auliwe. Ni upuuzi.
1. Hoja ya kwanza kwanini chanjo zingine hazina fomu ya kujaza. Lakini chanjo ya korona unajaza fomu!?
2. Serikali ilisema ni hiari, kwanini sasa wanalazimisha watu kuchanja!?
3. Ni effects zipi za muda mfupi na muda mrefu zitakazotokea baada ya kuchanjwa!?
4. Hizi chanjo hazizuii korona mpaka uchanje mara kibao.
MIMI NITASIMAMA NA GWAJIMA.
Hata chakula pia kina madhara...lakini faida zake zinayatupa mbali madhara yake, ndio maana tunakila bila hata ya kujiuliza!Mkuu, taratibu ndugu yangu. Gwajima huyuhuyu aliyekuwa anahusisha 5G Network na Covid ndio hero wako? Really? Huyu Mchungaji, ambae amegeuka mwanasiasa na ambae akiumwa leo anahudumiwa na Bima ya Serikali? Huyu ndie unamuamini kwamba maelezo yake kuhusu madhara ya Covid 19 Yana make sense kuliko wanasayansi bingwa duniani? Pengine wewe ni mfuasi wa kanisa lake ndio maana unamigia tarumbeta.