#COVID19 Hoja za Askofu Gwajima zimewaumbua wataalam wetu na waliomuingiza 'mkenge' Rais Samia kwenye chanjo ya Corona

Hata mwanafunzi anapofeli kujibu mtihani huwa hakosi kuweka visingizio.

Jikite kujibu hoja acha kukwepa....!!!
Hakuna hoja za msingi apo.Tanzania hakuna wataalamu wa chanjo.Sisi tunajua kujifukiza na tiba za asili.Mambo ya chanjo tuwaachie wataalamu wa Virology and Immunology.
 
Hakuna wa kuweza kumjibu Gwajima , sababu hzo chanjo ni agenda ya Siri ambayo gwajima yeye mwenyewe anaijua na Raisi anaijua...!! Sema Raisi kabanwa na wala sio maamuz yake hayo ....!!Hana namna , na sote tutachanjwa ni Suala la mda tuu

Upumbavu ndio huu, ujinga huna ninaamini. Hapa nasema wewe sio ignorant, ni fool! Maawali yote aliyouliza Dr. Gwajima na unayoshadidia yanajibiwa na jibu moja tu - hakuna popote, narudia popote ambapo mtaalamu yeyote au mtengeneza chanjo amesema kuwa hizi ni chanjo za KUZUIA corona au KUZUIA maambukizi! Kila mtaalamu (asiye kanjanja) kasema chanjo hizo zinazuia severe sickness (hospitalization) na vifo!! Na tunachojitaji kwa muda huu ni kutoumwa na kutokufa!! Basi!!

Swali ambalo mnashindwa kujibu sasa hivi ni kuna watu wangapi wamechanjwa lakini wakaugua na kufa!! Mpaka sasa wanaukufa 100% ni ambao hawajachanjwa na watu wawili katika kila 100 waliochanjwa ndio wanapata mild symptoms (maana yake 98 hata kusikia kichwa kinauma hawasikii).

Kuweni wakweli na kama mna scientific data mzitoe. Mambo haya ni ya kisayansi - sio ya kiroho wala kisiasa. Ingekuwa ya kiroho badala ya Gwajima kurusha maswali - ANGEPONYA!!

Upumbavu umewajaa mpaka unaelekea kuchua nafasi ya ujinga kiasi mtakuwa hamfundishiki!!
 
Asante sana kwa majibu mazuri na ya msingi.Hili genge na Gwajima na Polepole shabaha yao watu tufe kama kuku.
 
We k-ma nn
 
Huyo gwajima naye muongo tu. OK tumechanjwa mbona hatujabadirika mazombi. Halafu ile kauli yake ya kuomba ili walochanjwa wabadilike mazombi iliharibu hoja zake zote zingine
 
Nilitegemea ile kamati iliyoshauri tuchanjwe iwe ya Kwanza kumjibu,lakini imeingia mitini maana haina majibu ya kisayansi zaidi ya kudai anapotosha tu.
 
Nilitegemea ile kamati iliyoshauri tuchanjwe iwe ya Kwanza kumjibu,lakini imeingia mitini maana haina majibu ya kisayansi zaidi ya kudai anapotosha tu.
Wameshakula posho ya mabilioni, wana shida gani tena kwani!???
 
Kabla hajajibiwa hoja yake atujb yeye kwanza kuwa ile video ya ngono atarudia party two au tuendelee na ile ile, pili yeye anasema ni mtu AWEZA fufua wafu,je hawez mfufua mwendazake tuendelee na msimamo ambao yeye gwajima anauamin kuhusu vita dhidi ya Corona?? asante
 
Gwajima hana njaa. Kama angekuwa nayo angekaa kimya na kuungana na wanafiki wengine kama akina kigwangala na wengineo kusapoti chanjo ili kulinda ubunge na vyeo vyao

Kwani chanjo uliambiwa ni tiba ya kufanya uepuke maambukiz au ni kiwezesho Cha kuimarisha kinga zako Dhidi ya maradhi?
 
Unajua maana ya chanjo?
 
... huyo askofu ni mjinga! Hajui maana ya chanjo/kinga. Pili, ingekuwa taifa zima kila raia, kila mgeni amepata chanjo kusingekuwa na umuhimu wa kuvaa barakoa na tahadhari nyingine. Ila kwa kuwa sio wote wenye chanjo, bado tahadhari ni muhimu zaidi kuwakinga wale ambao bado hawajapata chanjo. Hoja za kipumbavu kabisa anauliza halafu eti ana title ya "Dr.".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…