#COVID19 Hoja za Askofu Gwajima zimewaumbua wataalam wetu na waliomuingiza 'mkenge' Rais Samia kwenye chanjo ya Corona

Moja ya Maswali bora kuwahi kukutana nayo. Nasubiri majibu kuntu.
 
Wasiwasi wa nini wakati chanjo ni hiari!?
 
Usijichoshe na mambo ya kisayansi,
nenda ukajifukize, kula mapapai alafu nenda kajumuike na misukule mingine kwenye godown la Kibwetere, chanjo ni hiari
Kama ni sayansi , jibuni hoja za askofu kwa facts acheni kuruka ruka kama kunguru
 
Sio wataalamu tu hata serikali yenyewe iliyoleta hizo chanjo haina uwezo wakujibu kitu chochote ndo maana unaona mambo yanaenda msobe msobe kila mtu na lwake.
 
Sio wataalamu tu hata serikali yenyewe iliyoleta hizo chanjo haina uwezo wakujibu kitu chochote ndo maana unaona mambo yanaenda msobe msobe kila mtu na lwake.
Kweli kabisa....
Nina uhakika hata miss utalii hajui chochote ila kwa tamaa zake za kutaka pesa za msaada amejikuta ametumbukiza taifa kwenye majaribio
 
Kadi za kielektroniki zipo tayari mkuu ni swala la muda tu
 
Wenye afya hawamwitaji daktari, wanaomwitaji ni walio wagonjwa. Mungu alimuumba muharibu ili apate kuharibu na aliumba ubaya kwa wabaya watz nyiee Aah!!
 
Kwa baraka zote za serikali. Barabara ilijengwa, na wodi ya kuwahudumia waliozidiwa ilijengwa.
Leo hii serikali hio hio
Inatoa baraka na ushirikiano sawa kwenye suala la chanjo watu wanapinga
Kwenye kikombe watu wengine walipinga lakini serikali ilijitahidi kutoa ushirikiano kwa wahitaji
Japo mie pia sio mshabiki wa hii chanjoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 

1. MATAIFA MAKUBWA HAYAOGOPANI ...Chancellor wa Ujerumani Angela Merkel amepata chanjo ya Uingereza (Astrazeneca) na booster kutoka Marekani (Moderna)
2.WALICHANJWA WANAENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI kwani mwili huchukua wiki moja hadi mwezi kuweza kuimarisha kinga dhidi ya virusi baada ya kuchanjwa.

Kama una uelewa kwenye Biology/microbiogy/virology/vaccinology etc,hakuna hoja ya kushidwa kujibiwa labda "viroja"πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi nimeshachanja 09.08.2021.
Subiria baada ya miaka 5 ndo uje utambe maana hatujui bado baada ya hiyo miaka,yawezekana ukageuka nyani ama Zombie.
Siku zote nitamuheshimu Gwajima kwa hii issue ya Corona sababu alichoamini tangu mwanzo ndicho anaamini hata sasa haijalishi ni Sahihi au Si sahihi ila ameonesha msimamo na msimamo ndio sifa kuu ya kuwa kiongozi.
Kweli kabisa.
 
Na immunology pia
 
Ni sayansi gani ya chanjo inayosema ujikinge baada ya kupata chanjo? Wewe ulipopigwa ndui (ikiwemo chanjo ya TB) uliambiwa uvae barakoa?
 
Unaijua sayansi ya vaccine kweli? Kwanini huvai barakoa baada ya kuchanjwa TB?
Hata sasa wapo wengi waliopata corona bila symptoms. Mwaka jana wengi walipata corona lakini hawakujua.
Hakuna sayansi hapo ni usanii tuu, unapopata chanjo you are set for life kwa kuwa invaders wakiingia tuu, mwili unajua cha kufanya (unless una complications nyingine). Lakini data za CDC za wiki iliyopita zinasema wale waliokuwa vaccinated wana kiasi sawa cha viral load kama wale wasio chanjwa. Sasa wewe ni sayansi gani hiyo uliyoisoma inayosema ukipata chanjo bado unahatari ya kuambukizwa/kuambikiza kama yule asiyechanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…