Hoja za Tundu Lissu kuhusu Muungano na ardhi ya Tanzania kugawiwa Waarabu

Hoja za Tundu Lissu kuhusu Muungano na ardhi ya Tanzania kugawiwa Waarabu

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Mh. Tundu Lissu amekuwa akitoa hoja zake kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa hauna usawa.
Lakini pia amekuwa akieleza kuwa, ardhi ya Tanzania inagawiwa kwa Waarabu wa Oman kwa maelfu ya Hekta.
Kutokana na hoja hizo, naomba watu wa serikali watoe majibu ya kina na ya kweli, vinginevyo Watanzania tukubaliane na hoja hizo.

Wengi wanajitokeza kujaribu kujibu hoja, lakini wanaishia tu kulaumu na kulalama badala ya kujibu hoja za msingi. Mh. J. M. Kikwete aliwahi kusema"hoja haipigwi rungu bali hujibiwa kwa hoja yenye nguvu zaidi"
 
Back
Top Bottom