ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Saa hizi inatolewa, Ocean road elf 20 kwa mtu mmoja Aga Khan elfu 30, Chanjo haiko kwenye bimaHivi kwanini hawatoi chanjo ya ini kwa watu wote,yaan haihamasishwi watu wapime
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa hizi inatolewa, Ocean road elf 20 kwa mtu mmoja Aga Khan elfu 30, Chanjo haiko kwenye bimaHivi kwanini hawatoi chanjo ya ini kwa watu wote,yaan haihamasishwi watu wapime
Sawa tutaenda tukapate chanjoSaa hizi inatolewa, Ocean road elf 20 kwa mtu mmoja Aga Khan elfu 30, Chanjo haiko kwenye bima
Sawa mkuu kwaio unapatikana wapi kiongoziTabibu Mkuu ni Yesu Kristo haijarishi wanadamu wanasema nini ila Yesu aweza kukutibu magonjwa yako yote. Nipo tayari kukupa msaada bure kabisa ktk hili.
Tukiachana na mambo ya imani, homa ya ini ni ugonjwa mbaya sana na pia dalili zake nyingi zinashabiana na UKIMWI na hata upatikanaji wake pia unaendana na UKIMWI. Daktari aliyekwambia kuwa hakuna dawa ya moja kwa moja ya Homa ya Ini yupo sahihi.
Chanzo zipo na zinatolewa sehemu sehemu nyingi hapa Dar katika hospital kubwa kubwa mfano Muhimbili, Ocean Road n.k.
Sasa mkuu unamwambia akapate chanjo wakati alishaugua,unajua lakini maana ya chanjo?Pole sana nenda agakhan au muhimbili ndio wanatoa hiyo chanjo,navyojua mimi huo ugonjwa unatumia chanjo na unapona kabisa
Yes.Mkuu ushapata dawa ya huo ugonjwa
Tupeane mrejesho tume subscribe uzi wakuu vipi umejitibia vipi nasisi tupate elimu tafadhali msaadaYes.
Mkuu ninauhitaji pia kama kutakua na msaada wa elimu ya dawa tafadhaliMkuu ushapata dawa ya huo ugonjwa
Hapana mkuu ndo tunazid kumtafuta bill shanky atupe mrejesho kafikia wap maana yupo kimya...akitupa mrejesho kama kashafanikiwa kwa tiba au laaaMkuu ninauhitaji pia kama kutakua na msaada wa elimu ya dawa tafadhali
Kuna post moja mtu alicomment kwamba huu ugonjwa unaweza pia kuambizwa kwa njia kujamiiana, kuna ukweli hapo?Inabidi uendelee na truvada kwa mwaka mzima.Una chronic hepatitis B infenction.Saa zingine miezi sita ya tiba haitoshi.Picha acha kunywa pombe kama unakunywa.
Ni kweli baba.Kujamiana na zinaa ni tatizo.Kuna post moja mtu alicomment kwamba huu ugonjwa unaweza pia kuambizwa kwa njia kujamiiana, kuna ukweli hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app