Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

Tabibu Mkuu ni Yesu Kristo haijarishi wanadamu wanasema nini ila Yesu aweza kukutibu magonjwa yako yote. Nipo tayari kukupa msaada bure kabisa ktk hili.

Tukiachana na mambo ya imani, homa ya ini ni ugonjwa mbaya sana na pia dalili zake nyingi zinashabiana na UKIMWI na hata upatikanaji wake pia unaendana na UKIMWI. Daktari aliyekwambia kuwa hakuna dawa ya moja kwa moja ya Homa ya Ini yupo sahihi.

Chanzo zipo na zinatolewa sehemu sehemu nyingi hapa Dar katika hospital kubwa kubwa mfano Muhimbili, Ocean Road n.k.
 
Sawa mkuu kwaio unapatikana wapi kiongozi
 
Pole sana nenda agakhan au muhimbili ndio wanatoa hiyo chanjo,navyojua mimi huo ugonjwa unatumia chanjo na unapona kabisa
Sasa mkuu unamwambia akapate chanjo wakati alishaugua,unajua lakini maana ya chanjo?
 
bill Shnky,

Pole sana bro, jaribu kwenda kwenye duka moja Kariakoo mtaa wa Livingstone na Amani ulizia duka linaitwa SHUFAA au Piga simu no 0754856400 elezea shida yako in shaa Allah kwa uwezo wa M.Mungu utapona.
 
Huu ugonjwa ni ukimwi katika vazi lingine maana naona vinashabihiana kwa vingi kinga yake kuu ni kuachana na ngono na kuwa muaminifu

Hizo njia nyingine za kuambukiza sijui kuchangia nguo, na vitu vyenye ncha kali ni kachumbari tu ila njia kuu ni ngono. Mungu aliposema usizini alitaka kutuepusha na vingi ila kwa kuwa hatusikii ndiyo ukimwi na ndugu zake kina gono, syphilis na huyu mdogo wao mpya homa ya ini wanatoa sababu ya kwanini alisema usizini
 
Mkuu ninauhitaji pia kama kutakua na msaada wa elimu ya dawa tafadhali
Hapana mkuu ndo tunazid kumtafuta bill shanky atupe mrejesho kafikia wap maana yupo kimya...akitupa mrejesho kama kashafanikiwa kwa tiba au laaa
 
Inabidi uendelee na truvada kwa mwaka mzima.Una chronic hepatitis B infenction.Saa zingine miezi sita ya tiba haitoshi.Picha acha kunywa pombe kama unakunywa.
Kuna post moja mtu alicomment kwamba huu ugonjwa unaweza pia kuambizwa kwa njia kujamiiana, kuna ukweli hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom