Hongera Camilius Wambura kwa utulivu huu nchini

Wewe kipindi cha JPM ulimtukana sana na sio kukosoa leo hii sijui unasema nini nilivosoma heading tu nikajua ndo akina FaizaFoxy
Unaishi kwa kukariri. Hii haibadili position dhidi ya JPM
 
Takataka tupu
 
Hii ndiyo njia mwafaka lakini siyo mitusi na kuhamasisha civil unrest
 
Mleta uzi akiona hii tumbo linamsokota kama mtu aliyekula uchafu.
 
Unafiki unatutesa sana'' wa TZ, utasikia mama mi 5 tena!! Unajiuliza kwa lipo?
Sio mitano, raia huku utanzaniani tunataka aongezewe hadi 30.

Unauliza kwa lipi?!!! Are u serious?!!! You must have eyes on your back.

Sisi tunaona maendeleo, tunaona utulivu, tunaona uhuru wa kutoa maoni na sasa tunaona ushughulikiwaji wa kistaarabu kabisa kwa waliolenga kuanzia taharuki kwa kupitia dini, ukanda, uvyama na jinsi.
 
Bora uwaambie
 
Mleta uzi akiona hii tumbo linamsokota kama mtu aliyekula uchafu.
Siwezi kuhara kwa comment hii. Kwanza nimei like. Hii ndiyo njia sahihi ya ku resolve issues za kisheria na siyo maandamano ya kuleta civil unrest
 
Bandari imehongwa arabuni
 
Bandari imehongwa arabuni
Njoo kesho Ubungo Kibo nikupeleke Kurasini kama hutaikuta bandari. Hizi kauli za kishenzi ndiyo zikienea zinaleta taharuki.

Mwanachi wa kawaida anataka efficiency ya bandari na mapato yatokanayo na bandari bila kujali wanaoendesha ni waarabu au wazungu au wasukuma
 
Efficiency ndio kuandika mkataba wa kimangungo. Wahi kachue mgao dubai
 
Utulivu!
 
Wewe bandari ikiuzwa unafikiri itapelekwa Dubai? Acha hoja dhaifu.
 
Efficiency ndio kuandika mkataba wa kimangungo. Wahi kachue mgao dubai
Je unayo elimu ya mikataba? Je unajuwa kuwa kilichosainiwa ni IGA? Na IGA haiwezi kuwa enforceable in the court of law?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…