Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama zile zile!?Tumefungua Kesi hii, Under Certificate of Urgency, Wakati Wapiganaji wenzetu Wapo Korokorini. Ndio njia pekee ya kuwatia moyo. It's high Time kusimama na kuungana Ili twende kwenye kwenye Muafaka Mwema Maslahi mapana na Taifa Letu. TUSIOGOPE[emoji3578]View attachment 2717185
Sent using Jamii Forums mobile app
Takataka tupuTakriban miezi 2 kufika leo media zote zilijaa mambo ya upotoshaji kutoka kwa akina Mwabukusi, Dr. Slaa, Mdude, Nshala, Lissu etc. Hawa walikuwa wanatumia lugha ya vitisho na matusi dhidi ya viongozi wa Serikali kuhusiana na Mkataba wa Bandari na DP World.
Wapo pia waliotumia fursa zao kukosoa bila matusi wala jazba baadhi ya vipengere kama Prof. Tibaijuka, Prof Shivji, Joseph Butiku, Jaji Warioba etc.
Hata mimi ninazo nyuzi zangu ambazo nimekosoa kwa staha tu vipengere ambavyo havina masilahi.
Kuanzia jana na leo tumetulia kusoma na kusikia clips za matusi toka kwa akina Mwabukusi, Mdude na Dr Slaa.
Nawapongeza Tanzania Police chini ya IGP Camilius Wambura na TISS kama imehusika kwa kuliheshimisha Taifa.
Bandari haijauzwa, tuachane na hii taharuki.
Hii ndiyo njia mwafaka lakini siyo mitusi na kuhamasisha civil unrestTumefungua Kesi hii, Under Certificate of Urgency, Wakati Wapiganaji wenzetu Wapo Korokorini. Ndio njia pekee ya kuwatia moyo. It's high Time kusimama na kuungana Ili twende kwenye kwenye Muafaka Mwema Maslahi mapana na Taifa Letu. TUSIOGOPE[emoji3578]View attachment 2717185
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta uzi akiona hii tumbo linamsokota kama mtu aliyekula uchafu.Tumefungua Kesi hii, Under Certificate of Urgency, Wakati Wapiganaji wenzetu Wapo Korokorini. Ndio njia pekee ya kuwatia moyo. It's high Time kusimama na kuungana Ili twende kwenye kwenye Muafaka Mwema Maslahi mapana na Taifa Letu. TUSIOGOPE[emoji3578]View attachment 2717185
Sent using Jamii Forums mobile app
The guilty are afraid Huihui2 ... Fear of the unknown..!Hii ndiyo njia mwafaka lakini siyo mitusi na kuhamasisha civil unrest
Sio mitano, raia huku utanzaniani tunataka aongezewe hadi 30.Unafiki unatutesa sana'' wa TZ, utasikia mama mi 5 tena!! Unajiuliza kwa lipo?
Bora uwaambieSio mitano, raia huku utanzaniani tunataka aongezewe hadi 30.
Unauliza kwa lipi?!!! Are u serious?!!! You must have eyes on your back.
Sisi tunaona maendeleo, tunaona utulivu, tunaona uhuru wa kutoa maoni na sasa tunaona ushughulikiwaji wa kistaarabu kabisa kwa waliolenga kuanzia taharuki kwa kupitia dini, ukanda, uvyama na jinsi.
Bandari imehongwa arabuniTakriban miezi 2 kufika leo media zote zilijaa mambo ya upotoshaji kutoka kwa akina Mwabukusi, Dr. Slaa, Mdude, Nshala, Lissu etc. Hawa walikuwa wanatumia lugha ya vitisho na matusi dhidi ya viongozi wa Serikali kuhusiana na Mkataba wa Bandari na DP World.
Wapo pia waliotumia fursa zao kukosoa bila matusi wala jazba baadhi ya vipengere kama Prof. Tibaijuka, Prof Shivji, Joseph Butiku, Jaji Warioba etc.
Hata mimi ninazo nyuzi zangu ambazo nimekosoa kwa staha tu vipengere ambavyo havina masilahi.
Kuanzia jana na leo tumetulia kusoma na kusikia clips za matusi toka kwa akina Mwabukusi, Mdude na Dr Slaa.
Nawapongeza Tanzania Police chini ya IGP Camilius Wambura na TISS kama imehusika kwa kuliheshimisha Taifa.
Bandari haijauzwa, tuachane na hii taharuki.
Njoo kesho Ubungo Kibo nikupeleke Kurasini kama hutaikuta bandari. Hizi kauli za kishenzi ndiyo zikienea zinaleta taharuki.Bandari imehongwa arabuni
Efficiency ndio kuandika mkataba wa kimangungo. Wahi kachue mgao dubaiNjoo kesho Ubungo Kibo nikupeleke Kurasini kama hutaikuta bandari. Hizi kauli za kishenzi ndiyo zikienea zinaleta taharuki.
Mwanachi wa kawaida anataka efficiency ya bandari na mapato yatokanayo na bandari bila kujali wanaoendesha ni waarabu au wazungu au wasukuma
Utulivu!Takriban miezi 2 kufika leo media zote zilijaa mambo ya upotoshaji kutoka kwa akina Mwabukusi, Dr. Slaa, Mdude, Nshala, Lissu etc. Hawa walikuwa wanatumia lugha ya vitisho na matusi dhidi ya viongozi wa Serikali kuhusiana na Mkataba wa Bandari na DP World.
Wapo pia waliotumia fursa zao kukosoa bila matusi wala jazba baadhi ya vipengere kama Prof. Tibaijuka, Prof Shivji, Joseph Butiku, Jaji Warioba etc.
Hata mimi ninazo nyuzi zangu ambazo nimekosoa kwa staha tu vipengere ambavyo havina masilahi.
Kuanzia jana na leo tumetulia kusoma na kusikia clips za matusi toka kwa akina Mwabukusi, Mdude na Dr Slaa.
Nawapongeza Tanzania Police chini ya IGP Camilius Wambura na TISS kama imehusika kwa kuliheshimisha Taifa.
Bandari haijauzwa, tuachane na hii taharuki.
Wewe bandari ikiuzwa unafikiri itapelekwa Dubai? Acha hoja dhaifu.Njoo kesho Ubungo Kibo nikupeleke Kurasini kama hutaikuta bandari. Hizi kauli za kishenzi ndiyo zikienea zinaleta taharuki.
Mwanachi wa kawaida anataka efficiency ya bandari na mapato yatokanayo na bandari bila kujali wanaoendesha ni waarabu au wazungu au wasukuma