Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

tanzania sio kama congo wasijaribu kufanya uasi watapigika mpaka kwao
 
Ukiwa mtumishi wa umma mikoa ya Rukwa,Katavi,Tabora,Kigoma,Kagera na Mara ndio utagundua ajira za umma zilivyochukuliwa na Raia wa nchi jirani kwa kigezo cha kuingiliana lugha na tamaduni.
HILI JAMBO NI KUBWA KULIKO TUNAVYODHANI NA MADHARA YAKE NI MAKUBWA NA LILIPOFIKIA KULISHUGHULIKIA BILA BUSARA LITALETA SHIDA KUBWA
 
Baadae wataanza kusema kwa kuwa hapa ni kwetu kama wanavyofanya Mashariki mwa Congo na kikundi cha M23
 
Tanzania ingekuwa legelege kama congo na uganda mipaka yake kuchezewa na waasi watakavyo ingeishavurugwa vibaya. Kagera na kigoma mpaka katavi ingekuwa ni eneo la waasi kutamba kuja mpaka kahama, mwanza, shinyanga na tabora. Wilaya za ngara, garagwe na misenyi ndio lango lao la kupenya. Tushukuru taifa letu si dhaifu kiulinzi katika mipaka yake kama congo. Kwetu mtu akianzisha harakati za kutaka kugawa wananchi kwa itikadi za kidini, kikabila na kikanda anashughulikiwa juu kwa juu.
 
Usiishi kwa kukariri. Tahadhali ni muhimu na kinga ni bora kuliko tiba.

Kama mliwekewa hadi Waziri wa Ulinzi na Katibu Mkuu Kiongozi sio raia mna uhakika gani na usalama wenu miaka ya mbele?
 
Ndiko tunakoelekea. Kuna wakubwa jeshini ambao ni wakimbizi ndio wanasimamia interviews za kuingiza vijana jeshini huku wakiwapa nafasi wenzao ndani ya jeshi letu. Siku kikiwaka tunaweza nyang'anywa taifa hili maana maeneo nyeti sana.
Hii ni hatari kubwa sana kwa nchi. Viongozi wetu wa kisiasa wao wanawaza vyeo tu!
 
Ndiko tunakoelekea. Kuna wakubwa jeshini ambao ni wakimbizi ndio wanasimamia interviews za kuingiza vijana jeshini huku wakiwapa nafasi wenzao ndani ya jeshi letu. Siku kikiwaka tunaweza nyang'anywa taifa hili maana maeneo nyeti sana.
Upuuzi mtupu, alifikaje hapo huyo mkubwa?
Acheni tuhuma za, kijinga jinga,kama mtu mkubwa kama CDF, anakili kqbisa kuwa kuwa, watu wapo kwenye njazifa nyeti, na sio raia, huo ni uzembe kazini, ilibidi ajiuzuru kabisa,yaani unakili hadharani kwamba Raisi hufanya makosa, katika kuteua na anateua watu wa sio raia! Sasa wasaidizi wake, na mamlaka za usalama zinafanya ni ni? Yaani maccm yameshindwa kazi, yamebski kuiba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…