Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

mkuu teuzi bado zipo..keep it up.
Upo kundi moja na wapumbavu wanaozunguka nchi nzima kuilaumu Serikali wakati wao wapo serikalini.
Sasa hivi wako moshi wanashanga serikali haijafanya kitu, jana walikuwa Tanga.
Mimi unataka niwe jaji mkuu?
Unajua kwamba Jaji hateuliwi nafasi za kisiasa?
Wewe unataka Samia abaki na hao wahutu, tusi na wabembe waliopenyezwa kila idara na nanii ambaye inasemekana hakuwa mtanganyika?
 
tuemchelewa kipindi Mtikila r.i.p anatoa angalizo la nchi kuwa na mamluki tungeanzia pale.

kunakitu niliwai kucomment kwenye uzi flani wadau wakanikatalia.kipindi cha nyuma kuna watumishi wa serikali walikua wakiwakwamisha kwa makusudi wawekezaji ili waone uzito kisha wakimbilie nchi za jirani.Tz mambo ni hovyo vurugu mechi.
 
Taifa hili kama akili ya wananchi wake hadi leo wanamawazo ya kijima itachukua miaka 1000 kuwa civilized had leo wanawaza ukabila wakati tukichunguza generation 3,tu origin ya mtu kutoka Tanganyika hatuipati,maana mababu wa mababu zetu kiasili sio wakazi wa Tanganyika,hata tukijaribu kutrace gene kwa kila mbogo patachimbika hapa😀😀😀,ila tatizo ni elimu tukianza kuangalia gene resemblance hata mtoa mada atakuwa sio mtanganyika,elimu elimu elimu,bongo ni tatizo ujinga bado upo wachaccm itawale wafu maana majority hawajielewi
 
Nenda rwanda uone kama utapewa hata kibustani cha nyany ulime. Ila huku shamba la Bibi wanaishi na kutesa wenyeji. Those people ndio maana waliuawa in 1994 ni tatizo.
Acha kudanganya watu nimeishi Rwanda Kigali Rwanda Kabustani unanunua tu kama una hela kama ilivyo Tanzania,acha kusambaza chuki sambaza upendo.
 
We utakuwa mtusi si bure
 
mbona povu sana mkimbizi nini
 
ongeeni tu ila usalama wa nchi kwanza maana yakianza machafuko ukabila huwa haukosekani
 
Sasa inakuwaje kiongozi wa serikali(system) unakubali kula rushwa kwa ajili ya kuuza nchi? Kama ni hivo idara ya usalama Tanzania isukwe upya,haiwezekani watu wachache wauze nchi! Na mtu kama ni kiongozi wa serikali kama anaona hajaridhika na kuishi Tanzania aitwe ahojiwe kwa ushahidi,kisha apelekwe huko anakopeleka taarifa zetu na mali zetu za nchi, non sense mtu anapewa dhamana ya nchi halafu unauza hiyo dhamana.
 
Sisi wananchi tukishikirikiana na Jwtz tutaweza kuwatokomeza wahamiaji haramu wote
Inawezekana lakini itakuwa kazi ngumu kwa kuwa hata humo JWTZ tayari wameishapenyamo na wana ushawishi mkubwa sana.

Na kwenye muhimili mkuu wa uongozi tayari wamo. Hivi kwa mfano VP tutaanzia wapi kumng'oa na kumrudisha kwao Burundi?
 
Sisi wananchi tukishikirikiana na Jwtz tutaweza kuwatokomeza wahamiaji haramu wote
Hata we mwenyewe tukitrace gene zako maabara tunagundua inawezekana generation zako mbili zinatatoka zambia ,kutokana na gene resemblance,tukiichukulia hii issue serious watabaki watanganyika wachache hawazidi hata millioni ishirini,ila tatizo elimu elimu elimu na rudia elimu plus ujinga unapata ujuaji na upumbafu😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…