Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Huwezi amini wanashika hadi nafasi za juu kabisa za maamuzi. Nchi yetu sijui ina nini hii?
Watanzania ! Hadi Rais siyo mtanzania ni mzanzbari, anakotoka Rais mtanzania huruhusiwi hatakuwa mjumbe wa serikali za mitaa, achilia mbali kumiliki kipande cha ardhi. Tuanzie hapo kisha twende huko. Tanganyika lazima iongozwe na watanganyika. Tuanze kukataa hili huku kwingine tutaweza.
 
Ni aibu mkubwa sana mkuu kutoa kauli ile hadharani yani hata majirani wanaona kumbe Tanzania ulinzi hamna. Kajiabisha yeye na Amri Jeshi wake Mkuu.
 
Inawezekana kbs kwn ccm imewakumbatia mnoo
 
Usiishi kwa kukariri. Tahadhali ni muhimu na kinga ni bora kuliko tiba.

Kama mliwekewa hadi Waziri wa Ulinzi na Katibu Mkuu Kiongozi sio raia mna uhakika gani na usalama wenu miaka ya mbele?
Huyu waziri wa ulinzi alikuwa yupi? Au ni yule aliyefariki?
 
Afro man. Mzee wa Luangwa

Acha kunisumbua bwana unajifanya hujui. Tafuta habari za msiba wa dada wa No. 2. uliofanyika tabora alafu linganisha majina yake na mchezaji wa Simba anaetokea Burundi
Wewe kma huwewzi kuongea bila codes zako usinisumbuwe.

Ukifatilia majina hata Kenya wapo akina nyerere, tena kwa wajaluo huko.

Silioni tatizo, ita maji "maji". Usiite mma.
 
Sasa nani kamfundisha mwenzake kunyaza ili tumpe Maua yake?

Je ni Muhaya ndie mgunduzi halafu akawafunza wenzake au ni Mnyankole ndie mvumbuzi halafu akawafunza Wahima au ni Watutsi ndio wavumbuzi wakawafunza all the above👆



Ndakukunda Cyane.
 
Mnaongelea "infiltaration" za Kizayuni kabisa duniani.


Mshafikiria chini huku kwenye ngazi za kawaida ambazo siyyp za kisiasa wala nyadhifa kubwa za Kiserikali? Huku ndiyo wageni wamejaa, tukisema tuwachambuwe kwa kina tutajikuta Watanzania asilimia 80 ni wageni.

Tanzania inazungukwa na mipaka ya nchi nyingi sana, tena ipo wazi kabisa. Huwezi kuzuwia kabisa uwepo wa wageni wahamiaji, kihalali au kiharamu.

Unaemdhania siye kumbe ndiye.
 
Watanzania tazameni ramani halafu mnambie mtazuwia vipi wageni wa nchi zinazotuzunguka? Au utabaguwa, wageni hawa tunawataka, hawa hatuwataki?


Au fitina tayari za kuanza kuuwana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…