Hongera daughter. Division 2 ya point 20 from Kayumba School

Naomba msamaha ndugu ,Mimi nakubaliana na wewe kabisa kwenye Jambo hili ijapokuwa nilikuwa na Toto kwenye shule za private Sasa kumbe bwana walimu uwa wanapiga hela zetu qlafu mtihani ukifika wanachambua wale vichwaa wanapiga mtihani shuleni hapo hapo Ila wale vilaza Kama mwanangu wanapelekwa shule za jirani zile za akifufuka tutashangaa .

Sasa matokeo yametoka limezungusha lishikaaji langu nawaza nafanyaje hapa ni litoto la ndugu yangu mmoja na Mimi nilijipa majukumu yakuhakikisha linasoma Ila limenipiga na kitu kizito kabisa
 
Kwa cv ya Mwanao atafanikiwa kufika mpaka degree, ila atakuja kuleta usumbufu kwenye ndoa lazima, vijana na watoto wangu huyu ni Baba Mkwe wenu mtarajiwa na hivi ndivyo anamuelezea binti yake, kweli Malezi Hakuna siku hizi!
Mimi Sio Mzee mkuu.

Ukitaka kuoa binti alie lelewa kwenye malezi bora nenda kaoe mtoto wa Mzee Warioba au Mtoto wa Mchungaji Magembe
 
Pole Sana kaka
 
Advance mlete Maneromango high school kisarawe Pwani ntakua mwenyeji wake.
 
Yule rafiki wa binti yako uliezagamua iliishaje mkuu??
 
Advance mlete Maneromango high school kisarawe Pwani ntakua mwenyeji wake.
Naijua Sana hiyo shule. Maneromango kwao na mama angu. Maneromango/ Msanga Sokoni/ Msanga Ngongere / Malui/ Vikumburu kote huko watu ukoo wa mama angu.

So nafasi zinapatikana? Incase akipangiwa shule ya mbali nikataka kumleta hapo?
 
You are a c student. You have failed my Class. This is not what I am preaching
Then tell me how state schools are better than EMS, given that they have failed to give your daughter good grades

II 20 is not even in the 90th percentile
 
Naijua Sana hiyo shule. Maneromango kwao na mama angu. Maneromango/ Msanga Sokoni/ Msanga Ngongere / Malui/ Vikumburu kote huko watu ukoo wa mama angu.

So nafasi zinapatikana? Incase akipangiwa shule ya mbali nikataka kumleta hapo?hakuna

Naijua Sana hiyo shule. Maneromango kwao na mama angu. Maneromango/ Msanga Sokoni/ Msanga Ngongere / Malui/ Vikumburu kote huko watu ukoo wa mama angu.

So nafasi zinapatikana? Incase akipangiwa shule ya mbali nikataka kumleta hapo?
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua
 
Then tell me how state schools are better than EMS, given that they have failed to give your daughter good grades

II 20 is not even in the 90th percentile
Mkuu Mimi nimeshahama kutoka kwenye mentality ya kutaka good grades.

But if we go down to that level kuna wanafunzi wapeta division 3 na 4 kwenye shule za private.

Dogo anasoma Kayumba na katusua Division 2 ambayo inampeleka form five halafu unasema sijafikia lengo? What's up? Kwani lengo la kusoma O level si kufaulu kwenda 5?
 
Congratulations still mateso ya debate na presentations chuo bila ung'eng'e atapata tabu sana. Somesha watoto ems kama uwezo unakuruhusu mkuu
 
ajenda yake hujaielewa? Ana wivu na wazazi wanowekeza kielimu kwa watoto kwa kuwapa elimu bora ya gharama.
hujamuelewa yaani yeye haoni impact yoyote ya EMs kwani mwisho wa siku wanakuja kukutana na Kayumba huko vyuoni nahao Kayumba wanawaburuza wa EMs sasa yanini utumie pesa nyingi badala ya kumuwekea investment mapema? Ingekuwa na huko mbeleni kuna vyuo vya waliotoka EMs vyenye hadhi ya juu kuliko waliotoka Kayumba hapo sawa..hv hvo waliotoka EMs mwisho wa siku wanakuja kusaka ajira pamoja na hawa waliotoka Kayumba nini maana yake? anaenda mbali kwa kusema kama huko EMs mnafata kingereza mbona kuna program mtoto anaweza zitumia kujifunza kingereza..Ngoja niachie hapo kwanza nimechoka kuponyeza.
 
100% Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…