Numbisa unavyo penda English inaonekana wewe hata watoto wako wakiongea Kiswahili u be like " Nyie shauri yenu"
Kufaulu napo ni akili za maisha, kunaleta fursa.Sikia nowdays hakuna haja ya kupata ama kufaulu kwa A zote , hakuna dili , hata mwanangu napenda apate katikati, mie nimepata hizo wani both A&O hakuna maajabu sana.
Maisha sio kuwa na A.
Hata jack ma alisema anataka wanawe wapate alama za kawaida. Hujamsoma kiyosaki why A students work for C students. Yaani awe mjanja wa sales skills na Mambo mengine mtaani anameki Maisha mbona. Kuna madalali Wana Maisha mazuri kuzidi waliopata A. Maisha na As za school I don't think are directly proportional
La Saba umemaliza mwaka gani?
I want to tell u somethinh about English
100%. FactMy school hii hapa najua watt wanalipiwa ada 70k, yaani hakuna makuu na watakutana chuo, Kama Kuna scholarship watapata na watasoma , Kama kazi Fulani atafundishwa ataielewa na ataifanya vizuri bila ya kuangalia kuwa elimu yake alilipa milioni mia moja.
Nimesoma nikamaliza nikaishikilia degree hata milioni moja haijatumika. kusoma bana ni bure sema ni Ile ari ama kiu ya mtu kutafuta maarifa yaani maarifa yoyote unavyotaka yapo mbona bure na watu wanasoma wanamaliza Harvard business school baadaye wanakuja kukiri kuwa maarifa waliyopata mtandao YouTube etc ni zaidi walichopata Harvard so huko ni mbwembwe tu, na ku boast ego and euphoric
View attachment 3211247
My school hii hapa najua watt wanalipiwa ada 70k, yaani hakuna makuu na watakutana chuo, Kama Kuna scholarship watapata na watasoma , Kama kazi Fulani atafundishwa ataielewa na ataifanya vizuri bila ya kuangalia kuwa elimu yake alilipa milioni mia moja.
Nimesoma nikamaliza nikaishikilia degree hata milioni moja haijatumika. kusoma bana ni bure sema ni Ile ari ama kiu ya mtu kutafuta maarifa yaani maarifa yoyote unavyotaka yapo mbona bure na watu wanasoma wanamaliza Harvard business school baadaye wanakuja kukiri kuwa maarifa waliyopata mtandao YouTube etc ni zaidi walichopata Harvard so huko ni mbwembwe tu, na ku boast ego and euphoric
View attachment 3211247
Okay ni miaka ya tisini au elfu 2 mwanzoni?
Bila kusahau ndugu zetu wa visiwani, hii ni shule aliyosoma mama🐼
Safi sana👏🏽Bila kusahau ndugu zetu wa visiwani, hii ni shule aliyosoma mama🐼
View attachment 3211269