Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Kama kawapita davido na wizkid mtu mbaya...basi hizo vyuuz hazina mpango


We jamaa kaa mbali na davido,ukimucha wizkid the star boy..jamaa wako mbali sana
 
Watu wanajaza saver tu hapa, mdau kauliza swali ila majibu yaneleta mbu 😑!
 
asante umenijibu kwa evidence

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…