Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

thanks mkuu umefafanua nimeelewa sasa

Sent
 
Views ml 1 ni lak nne na kidogo ukizisha hapo jibu utalipata

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Sasa twende mwendo wa cross multiplications. Sasa Kama views mil 1= tsh 400000#
Video ya Jeje ina views mil 20 hadi sasa hapo maana yake diamond atapata mil 8 tsh katika video ya jeje. Story za abunuasi zinakuja wapi chief.

Katika hao watu mil 20 waliotazama video ya jeje inabidi waliangalie tangazo litakalowekwa kwenye hiyo video ya jeje bila ku skip tangazo. Sasa mm hapa nimeangalia video bila kuangalia tangazo. Ndio maana watu tunamashaka na youtube wanawaibia wasanii. Pesa kama wanapata wasanii basi ni kidogo sana tofauti na tunavyoaminishwa vijiweni. Mm bado nitaamini mikataba ya ubalozi wa makampuni na show ndio zinawalipa sana wasanii kuliko YouTube
 

Mkuu hii ni milioni ngapi 2 au 20?
 
Mkuu, Kwa bahati mbaya kulingana na matakwa ya Youtube hauwezi kutengeneza fedha unayoitegemea kwa kutegemea tu Idadi ya watazamaji ulionao tu.
 
Wapi King Kibaa [emoji1787][emoji1787]
 
Kiba yeye anaweka music tu youtube sasa huyu mondi hata akivaa kiatu kipya ataweka video youtube , mtoto wa uncle wake akiwa na birthday party basi ataupload , akinunua bajaji lazima aweke.. ndio maana ana views nyingi , lakini content ya muziki views hazizidi mil 200"

Alisikika shabiki mmoja wa kiba akiongea kwa uchungu
 
Diamond Platinumz amefikisha views bilion1 huko Youtube kwa video zake zote. hapa anahitaji pongezi hata za kinafiki(haters)

Tukitumia kigezo hicho kwamba Mond ni zaidi ya Davido na Wizkid tutakosea?

Tumpe no1 Afrika kwa sababu hiyo. Bilion 1 si mchezo.
 

Sawa ila hapo kwenye kumueka juu ya Wizkid na Davido kwa kigezo cha views Billion ndo unapokosea
 
Msanii bora ni summation ya vitu vingi,hapo umegusa platform moja lkn kuna sportfy,Itunes,Tidal ,apple (Wizkid,Davido)ambazo wanalipa mgwanja mrefu kuliko youtube huko wasanii wa Nigeria ndio wana kimbiza even though hata huko Diamond anafanya vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…