Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

unahisi Mond kazidiwa huko tu??
 
Tutumie kigezo gani ndugu?
1.Number of shows per year.
2.Venue zinapofanyikia show.
3.Chati katika vyombo vikubwa kama Trace na MTV.
4.Nominatons ktk awards kubwa na idadi ya tuzo.
5.Mauzo katika digital platforms zote eg Youtube,Itunea,Sportfy,Tidal,Apple,Deezer,Boomplay nk
6.Rotation ya nyimbo katika vyombo vikubwa vya burudani.
7.Kutokea katika majarida makubwa na website kubwa duniani.
8.Deal kutoka makampuni makubwa ya kimataifa.
 
Ww unahisi hapo Mond lazima atasubiri kwa Wizzy na Davido? Kwa kutazama mpangilio huo
 
Tutumie kigezo gani ndugu?

Ni sawa na kusema 6ixnine ni bora zaidi ya Kendrick kwa kigezo cha views za Youtube....Labda nisikuchoshe unaeza nitajia hata album moja tu ya Mond iliyofanikiwa zaidi hata ya superstar, album ya kwanza kabisa ya Wizkid.

Fall ya Davido juzi tu imefikisha mauzo yenye hadhi ya Platnum marekani...vipi kwa Mond...
Mond anajitahidi ila labda wakitoka wao na Burna ndo anafuatia
 
Umeongea vzr. kwahyo kina Wizzy wanampita wapi Mond??
 
Wizkid na Davido ni wakubwa hilo halina ubishi ila Mondi anajitahidi kwenda nao sambamba.
lkn safi nao kuna sehemu anawazidi Hado Subscriber anao zaidi ya Wizzy na Davido. juzi bilion 1 wakati Wizzy ana milion mia4 na80 Hata ukizidisha mara mbili bado hili nalo neno....
 
Umeongea vzr. kwahyo kina Wizzy wanampita wapi Mond??
Ok Diamond Youtube kaulpload video 650+ hapo akifanyiwa interview anaweka huko, Behind the scene ya video zake, jana wamemsapraizi wasafi media hiyo video kashaweka huko.

Mfano Wizkid ana video 14 to kwenye channel yake na ana views 479+m, sasa imagine angeweka shows, interviews,Behind the scenes zote...video hata mia tu angekua na views wangapi!
 
BilioneaPATIGOO umemjibu vizuri Sana Kuna baadhi ya member Wana akili ya kuvukia Barabara
 
Wizzy video 14 tu??? Audio??
 
Kama ni 3000 kwa views 1000 basi malipo kwa 1mil views ni 3mil ambapo sio rahisi kama tunavyoandika hapa
 
Unatakiwa uangalia tangazo mwanzo hadi mwisho na hii ndio sababu wengi hawapati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…