Hongera Diamond kwa release ya Utanipenda, umenishika Nifah!

Kabisa mkuu,nimeshindwa kuvumilia kwakweli.
Huu wimbo haukauki machoni mwangu,leo nitautia kwenye flash nizidi kuukosha moyo wangu.
Siuchoki kabisa.

Nakuheshimu kwa kusimamia ukweli na misimamo thabiti#
 

Karibu sana #Nifah nakumbuka mara ya mwisho nilikuPM nawe pia ukafanya hivo leo tena apa ChibuDangoteDiamondPlatnumz
 
Last edited by a moderator:
et kwel wmbo mpya wa diamond unavoanza amemwambia wema sepetu tatzo la uzaz?

Mkuu nilivoelewa mimi kuwa pale Dk Mwaka kalipia lile tangazo kwan pale anapigiwa promo juu ya biashara yake ba chibu na si kuwa chibu aliweka lile kwa makusudi ila ni.moja ya watu walijitangaza kupitia music? ila nafikiri concept ya nyimbo inajulikana na wala haihusiani na ma matatizo ya uzazi.
 
Karibu sana #Nifah nakumbuka mara ya mwisho nilikuPM nawe pia ukafanya hivo leo tena apa ChibuDangoteDiamondPlatnumz
Hahahahaaa aisee umenifurahisha sana,umesahau ulinitumia friend request nikaaccept pia.
 
Last edited by a moderator:
nifah achana na huyo kenge. Pleaseee. Lets enjoy the good music. Anakutisha nini labda?
Mhhhhh jamani?
Siwezi kugombana na pwilo,sisi ni family moja japo tuna mitazamo tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana umeonyesha mfano mzuri unao paswa kuigwa, Nimekuheshimu sana dada
 

- Wacha mkwara zamani nilikuwa nakupenda mpaka naumwazzz ila siku sikupendi tena U know!!

le Mutuz
 

Umesaliti Mabadiliko watu kama nyinyi hata kipindi cha Yesu mlikuwepo huna tofauti na Lipumba na Slaa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…