Hongera Dr. Samia Suluhu Hassan kwa mkataba wa ujenzi wa Petroleum Refinary Tanga

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
790
Reaction score
1,316
Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga.

Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili mawazo na kuhamishia Lamu uwekezaji wake wa Refinary.

Mkutano wa Rais Samia na Rais Ruto, baadaye na Dangote mwenyewe haukuweza kuukoa mradi kubaki Tanga. Kwahiyo hatua hii ya kutia saini mkataba huu na mwekezaji mwingine ni hatua kubwa, yaujasiri na inayohitaji pongezi.

Mradi huu utakapokamilika utaiwezesha nchi yetu kujitegemea kwenye mafuta, utazalisha ajira na kufungua uwekezaji mwingine wa mazao ya Petroli.
 
1.Africa Mashariki haiwezekani Iwe na Refinery zaidi ya Moja.

2. Demand ya Mafuta bado kabisa haijafika huko mzee.

3. Tulishindwa kumshawishi Dangote basi tena.

TUNAONGOZWA NA MWENDAWAZIMU.
WEWE NI LICHAWA.
 
Kwa uelewa wangu Kuna mambo nimeyafikiria nikaona Kuna siasa ya kikanda hapa, jiulize kwanini hii mipango imefanyika punde tu baada ya deal ya Dangote kuyeyuka, kwanini Waziri Mkombo amekimbia fasta Kwa Dangote kupliease je hizo T 56 anaitoa nani muekezaji au UG na Tz,, huyu VITOAL ni dalali au Muwekezaji? Nafasi yake ni nini kwenye huu mradi?
 
Naunga mkono hoja Uamuzi wa Kujenga Refinery Tanga, ni Uamuzi wa Kiume, Busara, Kishujaa, Kimkakati na Ukombozi wa Kiuchumi, Tutaweza Kuwalinda Mashujaa Hawa?.
P
 
1.Africa Mashariki haiwezekani Iwe na Refinery zaidi ya Moja.

2. Demand ya Mafuta bado kabisa haijafika huko mzee.

3. Tulishindwa kumshawishi Dangote basi tena.

TUNAONGOZWA NA MWENDAWAZIMU.
WEWE NI LICHAWA.
Kwahiyo kilichofanywa jana na Rais Museven, Rais Samia, kampuni ya Vitol Bahrain yalikuwa maigizo?

Hivi huu mradi wa refinary ukikamilika utamnufaisha Samia na familia yake? Nadhani tuachane na upinzani uchwara wa kupinga kila kitu hata mambo yenye maslahi ya Taifa.

Uchawa ni pamoja na tabia kama zako za kupinga miradi ya maendeleo, yenye maslahi kwa nchi ilimradi tu uonekana na mabwana wa chama chako.
 
Dr Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa mfano. Kila mmoja amuombee kwa imani yake ili awe na maisha marefu kwa maslahi mapana ya taifa letu.
 
Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga.

Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili mawazo na kuhamishia Lamu uwekezaji wake wa Refinary.

Mkutano wa Rais Samia na Rais Ruto, baadaye na Dangote mwenyewe haukuweza kuukoa mradi kubaki Tanga. Kwahiyo hatua hii ya kutia saini mkataba huu na mwekezaji mwingine ni hatua kubwa, yaujasiri na inayohitaji pongezi.

Mradi huu utakapokamilika utaiwezesha nchi yetu kujitegemea kwenye mafuta, utazalisha ajira na kufungua uwekezaji mwingine wa mazao ya Petroli.
Kwa hili nami namuunga mkono mama.
Kalamba dume.
 
Usiwe mpumbavu sana, SGR ni mradi wa $10b , hadi leo haujakamilika na haifahamiki utakamilika lini, kisha usikie kuna mradi mwingine wa $10b unawekewa sign?! Kwa taarifa yako, huyo Museveni aliwahi kupewa eneo kwenye bandari ya Tanga na utawala wa Mkapa, lengo lilikuwa ni kujenga bandari ya kupokelea na kusafirisha bidhaa za Uganda, hadi leo hawajawahi hata kuleta matofali mabovu 50
 
Samia ni muuaji tu. Fucc her.
 
Kwa uelewa wangu Kuna mambo nimeyafikiria nikaona Kuna siasa ya kikanda hapa, jiulize kwanini hii mipango imefanyika punde tu baada ya deal ya Dangote kuyeyuka, kwanini Waziri Mkombo amekimbia fasta Kwa Dangote kupliease je hizo T 56 anaitoa nani muekezaji au UG na Tz,, huyu VITOAL ni dalali au Muwekezaji? Nafasi yake ni nini kwenye huu mradi?
Vyovyote vile alimradi uchumi wa bomba la mafuta toka Uganda hautupiti.
 
Usiwe mpumbavu sana, SGR ni mradi wa $10b , hadi leo haujakamilika na haifahamiki utakamilika lini, kisha usikie kuna mradi mwingine wa $10b unawekewa sign?! Kwa taarifa yako, huyo Museveni aliwahi kupewa eneo kwenye bandari ya Tanga na utawala wa Mkapa, lengo lilikuwa ni kujenga bandari ya kupokelea na kusafirisha bidhaa za Uganda, hadi leo hawajawahi hata kuleta matofali mabovu 50
Mwaka 2024 nilikwenda Mwanza nikakuta mradi wa SGR umesimama majuzi nimerudi tena Mwanza mradi uko vile vile

RIP JPM
 
Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga.

Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili mawazo na kuhamishia Lamu uwekezaji wake wa Refinary.

Mkutano wa Rais Samia na Rais Ruto, baadaye na Dangote mwenyewe haukuweza kuukoa mradi kubaki Tanga. Kwahiyo hatua hii ya kutia saini mkataba huu na mwekezaji mwingine ni hatua kubwa, yaujasiri na inayohitaji pongezi.

Mradi huu utakapokamilika utaiwezesha nchi yetu kujitegemea kwenye mafuta, utazalisha ajira na kufungua uwekezaji mwingine wa mazao ya Petroli.
Walisaini MOU na siyo Agreement!
Screenshot_20260520-120655~2.png
 
Usiwe mpumbavu sana, SGR ni mradi wa $10b , hadi leo haujakamilika na haifahamiki utakamilika lini, kisha usikie kuna mradi mwingine wa $10b unawekewa sign?! Kwa taarifa yako, huyo Museveni aliwahi kupewa eneo kwenye bandari ya Tanga na utawala wa Mkapa, lengo lilikuwa ni kujenga bandari ya kupokelea na kusafirisha bidhaa za Uganda, hadi leo hawajawahi hata kuleta matofali mabovu 50
Baki na negative attitude zako peke yako. Ninaimani watanzania wanaoitakia mema nchi yao watauombea mradi huu ufanikiwe na watashirikiana na serikali yao kufanikisha hilo.
 
Kwahiyo kilichofanywa jana na Rais Museven, Rais Samia, kampuni ya Vitol Bahrain yalikuwa maigizo?

Hivi huu mradi wa refinary ukikamilika utamnufaisha Samia na familia yake? Nadhani tuachane na upinzani uchwara wa kupinga kila kitu hata mambo yenye maslahi ya Taifa.

Uchawa ni pamoja na tabia kama zako za kupinga miradi ya maendeleo, yenye maslahi kwa nchi ilimradi tu uonekana na mabwana wa chama chako.
Tofautisha kati ya MOU na Agreement!
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Back
Top Bottom