akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Dr wa nn, si alisema form four alifeli?!.Dr Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa mfano. Kila mmoja amuombee kwa imani yake ili awe na maisha marefu kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Dr wa nn, si alisema form four alifeli?!.Dr Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa mfano. Kila mmoja amuombee kwa imani yake ili awe na maisha marefu kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Tanzanian taxpayers are consistently losers in any international commercial arrangement.Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga.
Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili mawazo na kuhamishia Lamu uwekezaji wake wa Refinary.
Mkutano wa Rais Samia na Rais Ruto, baadaye na Dangote mwenyewe haukuweza kuukoa mradi kubaki Tanga. Kwahiyo hatua hii ya kutia saini mkataba huu na mwekezaji mwingine ni hatua kubwa, yaujasiri na inayohitaji pongezi.
Mradi huu utakapokamilika utaiwezesha nchi yetu kujitegemea kwenye mafuta, utazalisha ajira na kufungua uwekezaji mwingine wa mazao ya Petroli.
We lipumbavu kweli.Baki na negative attitude zako peke yako. Ninaimani watanzania wanaoitakia mema nchi yao watauombea mradi huu ufanikiwe na watashirikiana na serikali yao kufanikisha hilo.
just follow the linkKivipi? Fafanua
Mkuu unaiamini kabisa mikataba ya siri ya ki Mangungo? Watawala hawa hawaaminiki hata kidogo.Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga.
Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili mawazo na kuhamishia Lamu uwekezaji wake wa Refinary.
Mkutano wa Rais Samia na Rais Ruto, baadaye na Dangote mwenyewe haukuweza kuukoa mradi kubaki Tanga. Kwahiyo hatua hii ya kutia saini mkataba huu na mwekezaji mwingine ni hatua kubwa, yaujasiri na inayohitaji pongezi.
Mradi huu utakapokamilika utaiwezesha nchi yetu kujitegemea kwenye mafuta, utazalisha ajira na kufungua uwekezaji mwingine wa mazao ya Petroli.
Ukimipa jibu gas ya mtwara inamnufaisha nani zaidi na mwanzo walisema itamnufaisha nani basi kwa hili la mafuta huna haja ya kupoteza muda wako kuwaamini hawa washenziKwahiyo kilichofanywa jana na Rais Museven, Rais Samia, kampuni ya Vitol Bahrain yalikuwa maigizo?
Hivi huu mradi wa refinary ukikamilika utamnufaisha Samia na familia yake? Nadhani tuachane na upinzani uchwara wa kupinga kila kitu hata mambo yenye maslahi ya Taifa.
Uchawa ni pamoja na tabia kama zako za kupinga miradi ya maendeleo, yenye maslahi kwa nchi ilimradi tu uonekana na mabwana wa chama chako.
Kufeli form 4 sio mwsho wa kuelimikaDr wa nn, si alisema form four alifeli?!.
WaTanganyika ni kama kumbukumbu zetu hazipo. Yaani watu wanawaamini hawa waigiza wapigaji kweli!?Ukimipa jibu gas ya mtwara inamnufaisha nani zaidi na mwanzo walisema itamnufaisha nani basi kwa hili la mafuta huna haja ya kupoteza muda wako kuwaamini hawa washenzi
Hapo hajuna Refinery wala nini. Trillion 56 watazitoa wapi? Political masterbationWaTanganyika ni kama kumbukumbu zetu hazipo. Yaani watu wanawaamini hawa waigiza wapigaji kweli!?
Bandari ya Bagamoyo imekamilika? LNG Lindi umekamilika, SGR imekamilika?Kwanini unamashaka rafiki?
Kwa nini unasema "ni lazima" tukubaliane ? Kwa nini CCM mnapenda sana kulazimisha mambo yenu hata kwa mambo ya kawaida kabisa ambayo ni debatable??Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga.
Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili mawazo na kuhamishia Lamu uwekezaji wake wa Refinary.
Mkutano wa Rais Samia na Rais Ruto, baadaye na Dangote mwenyewe haukuweza kuukoa mradi kubaki Tanga. Kwahiyo hatua hii ya kutia saini mkataba huu na mwekezaji mwingine ni hatua kubwa, yaujasiri na inayohitaji pongezi.
Mradi huu utakapokamilika utaiwezesha nchi yetu kujitegemea kwenye mafuta, utazalisha ajira na kufungua uwekezaji mwingine wa mazao ya Petroli.
Unatekwa kirahisi sana na hao waigizaji. Wakati wa Mkapa alimpa Museveni eneo ajenge ghati kwa ajili ya mizigo ya Uganda kwenye bandarri ya Tanga, nenda katazame, ukiikuta hiyo gati uje unijulishe. $20b sio jambo la mzaha wa hao majizi ya kura.Kwahiyo kilichofanywa jana na Rais Museven, Rais Samia, kampuni ya Vitol Bahrain yalikuwa maigizo?
Hivi huu mradi wa refinary ukikamilika utamnufaisha Samia na familia yake? Nadhani tuachane na upinzani uchwara wa kupinga kila kitu hata mambo yenye maslahi ya Taifa.
Uchawa ni pamoja na tabia kama zako za kupinga miradi ya maendeleo, yenye maslahi kwa nchi ilimradi tu uonekana na mabwana wa chama chako.
Siyo kweli, acha majibu ya kisirani1.Africa Mashariki haiwezekani Iwe na Refinery zaidi ya Moja.
2. Demand ya Mafuta bado kabisa haijafika huko mzee.
3. Tulishindwa kumshawishi Dangote basi tena.
TUNAONGOZWA NA MWENDAWAZIMU.
WEWE NI LICHAWA.
Si sahihi kusema Uganda ilipewa ghati na Mkapa kisha ikaacha kulijenga. Inaonekana mpango ulikuwa wa kupewa/kuruhusiwa matumizi ya Bandari ya Tanga, si kupewa ardhi ya bandari na jukumu la kujenga berth yake.Unatekwa kirahisi sana na hao waigizaji. Wakati wa Mkapa alimpa Museveni eneo ajenge ghati kwa ajili ya mizigo ya Uganda kwenye bandarri ya Tanga, nenda katazame, ukiikuta hiyo gati uje unijulishe. $20b sio jambo la mzaha wa hao majizi ya kura.