Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Alipokuwa anaomba hakuyajua hayo? Kumbuka lengo ilikuwa ni kukuza miundombunu ya East Africa. Au Mkapa ndio alimuomba aampe hilo eneo?Si sahihi kusema Uganda ilipewa ghati na Mkapa kisha ikaacha kulijenga. Inaonekana mpango ulikuwa wa kupewa/kuruhusiwa matumizi ya Bandari ya Tanga, si kupewa ardhi ya bandari na jukumu la kujenga berth yake.
Vikwazo vilivyofuata vilikuwa hasa:
-Barabara na reli kuelekea Uganda hazikuwa na uwezo wa kushindana na Mombasa.
-Tanga yenyewe ilikuwa na uwezo mdogo wa kuhudumia mizigo mikubwa wakati huo.
-Uganda tayari ilikuwa imejikita sana kwenye Mombasa–Kampala Northern Corridor.
Nasema hivi, Museveni na Samia ni matapeli wa bei rahisi, na wanawaokota wajinga. Au hiyo movie yao ni kutingisha kiberiti kwa Dangote kama atabadili mawazo.