Hongera Dr. Samia Suluhu Hassan kwa mkataba wa ujenzi wa Petroleum Refinary Tanga

Tanzanian taxpayers are consistently losers in any international commercial arrangement.

Mtandao wa majambazi ya CCM haujawahi kuwa na uzalendo wowote!
 
Baki na negative attitude zako peke yako. Ninaimani watanzania wanaoitakia mema nchi yao watauombea mradi huu ufanikiwe na watashirikiana na serikali yao kufanikisha hilo.
We lipumbavu kweli.
Unaakili za kipumbavu na kichawa.

Unadhani maendeleo ya nchi yanakuja kwa Maombi.

Maendeleo yanakuja kwa nidhamu.
 
Mkuu unaiamini kabisa mikataba ya siri ya ki Mangungo? Watawala hawa hawaaminiki hata kidogo.

Kama hadharani hawaoni haya kusema uwongo, sembuse itakuwa kifichoni.
 
Ukimipa jibu gas ya mtwara inamnufaisha nani zaidi na mwanzo walisema itamnufaisha nani basi kwa hili la mafuta huna haja ya kupoteza muda wako kuwaamini hawa washenzi
 
Ukimipa jibu gas ya mtwara inamnufaisha nani zaidi na mwanzo walisema itamnufaisha nani basi kwa hili la mafuta huna haja ya kupoteza muda wako kuwaamini hawa washenzi
WaTanganyika ni kama kumbukumbu zetu hazipo. Yaani watu wanawaamini hawa waigiza wapigaji kweli!?
 
Kwa nini unasema "ni lazima" tukubaliane ? Kwa nini CCM mnapenda sana kulazimisha mambo yenu hata kwa mambo ya kawaida kabisa ambayo ni debatable??
 
Unatekwa kirahisi sana na hao waigizaji. Wakati wa Mkapa alimpa Museveni eneo ajenge ghati kwa ajili ya mizigo ya Uganda kwenye bandarri ya Tanga, nenda katazame, ukiikuta hiyo gati uje unijulishe. $20b sio jambo la mzaha wa hao majizi ya kura.
 
Huu utawala umekuwa wa kipuuzi sana Yani Kila kukicha utasikia utaiaji Saini sijui wa mradi gani mara makubaliano ya ujenzi sijui wa nini alafu utekelezaji ni zero aiseeee hii Tanzania tangia mauaji ya October 29 yatokee Kuna laana imetuandama kuanzia Rais Hadi wananchi wenyewe
 
1.Africa Mashariki haiwezekani Iwe na Refinery zaidi ya Moja.

2. Demand ya Mafuta bado kabisa haijafika huko mzee.

3. Tulishindwa kumshawishi Dangote basi tena.

TUNAONGOZWA NA MWENDAWAZIMU.
WEWE NI LICHAWA.
Siyo kweli, acha majibu ya kisirani

Deal ya Vitol: Vitol ndiye mfanyabiashara mkubwa zaidi wa nishati duniani. Wana uwezo wa kifedha wa papo hapo (strong balance sheet) na tayari wana mkataba wa kusambaza mafuta yote ya Uganda. Hii inamaanisha Vitol inakuja Tanga ikiwa na soko tayari mikononi mwake.

Deal ya Dangote: Dangote sasa hivi anatafuta mitaji kupitia soko la hisa (IPO) na mikopo ya mabond ili kujenga mradi wa Lamu. Miradi yake mikubwa mara nyingi huchukua miaka mingi kukamilika kwa sababu ya changamoto za kifedha (kama ilivyotokea Nigeria).
 
Unatekwa kirahisi sana na hao waigizaji. Wakati wa Mkapa alimpa Museveni eneo ajenge ghati kwa ajili ya mizigo ya Uganda kwenye bandarri ya Tanga, nenda katazame, ukiikuta hiyo gati uje unijulishe. $20b sio jambo la mzaha wa hao majizi ya kura.
Si sahihi kusema Uganda ilipewa ghati na Mkapa kisha ikaacha kulijenga. Inaonekana mpango ulikuwa wa kupewa/kuruhusiwa matumizi ya Bandari ya Tanga, si kupewa ardhi ya bandari na jukumu la kujenga berth yake.
Vikwazo vilivyofuata vilikuwa hasa:
-Barabara na reli kuelekea Uganda hazikuwa na uwezo wa kushindana na Mombasa.
-Tanga yenyewe ilikuwa na uwezo mdogo wa kuhudumia mizigo mikubwa wakati huo.
-Uganda tayari ilikuwa imejikita sana kwenye Mombasa–Kampala Northern Corridor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…