Hongera Dr. Samia Suluhu Hassan kwa mkataba wa ujenzi wa Petroleum Refinary Tanga

Alipokuwa anaomba hakuyajua hayo? Kumbuka lengo ilikuwa ni kukuza miundombunu ya East Africa. Au Mkapa ndio alimuomba aampe hilo eneo?

Nasema hivi, Museveni na Samia ni matapeli wa bei rahisi, na wanawaokota wajinga. Au hiyo movie yao ni kutingisha kiberiti kwa Dangote kama atabadili mawazo.
 
Ni Nyerere ndiyo alimuombea kwa Mkapa ili awezeshwe.
 
Comrade ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri. Wakati mwingine kutokuwepo kwa taarifa sahihi kunatoa uwanja wa upotoshaji.
Kwasasa tayari kuna bomba la mafuta kutoka Uganda-Tanga. TRC wameshaanza ukarabati mkubwa wa reli ya Tanga-Arusha, ambayo tayari ipo kwenye mpango (ingawa ni wa baadaye) kuiunganisha na SGR.

Ukiangalia mipango hii yote ni wazi kuwa huu mradi ni viable.
 
Bandari ya Bagamoyo imekamilika? LNG Lindi umekamilika, SGR imekamilika?
Eacop ipo 91℅ inaelekea kukamilika. Tulia dawa ikuingie mchawi wa taifa bora baba yako angepiga tu nyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…