Samahani kidogo sister huyo kwenye avatar ni wewe???Mwandikoπ
Hiyo sababu nishaijua mkuu .
π€£π€£π€£Usivyopenda singlemom utaniua weweπNaomba namba yako
Fanya namna...Nitafanya jambo πππ
Wa pili ni nani????Wamesikia.
NI Vizuri Sana ku- appreciate Watu wanaokukubali
π€£π€£π€£ Mwakani zamu ya wengine mkuu.But asante sana mwambaHongera kwako Evelyn Salt nilikupigia kura kaa ukijua
To yeye we mshikaji wangu usijali mwakani nitakupa wewe leo tumempa dada yako kwa sababu ya seniority..
Vitoto tunavifukuza vikajitegemeeπ€£π€£π€£Usivyopenda singlemom utaniua weweπ
Kijana uko wapi sa hii.....unaweza kuja hii pub kwenye corner?
Turudi kwenye avatar sasa.Huo uchaguzi mbona wamejichanganya...
Evelyn Salt ni Broh....Tena senior Broh!!
Huo uzi wa mashindano ni upi?Evelyn Salt kipenzi changu π
Mi TeAmo sana wewe my sweet!
Kumbe walimu tunaweza.πππ
Ishi sana!
Anao Robert Heriel MtibeliHuo uzi wa mashindano ni upi?
πππππNipo hapa mwisho wa lami..Kijana uko wapi sa hii.....unaweza kuja hii pub kwenye corner?
Nipe tu ya zawadi bhanaVitoto tunavifukuza vikajitegemee
Namba inayopokea muamala naomba, jina litakuja nani.πππππNipo hapa mwisho wa lami..
Huko takuja badae badae hivi
Usiseme sasa, watajua.πππ labda miaka mitatu hukoo ilopita...