Edsheraan
JF-Expert Member
- Oct 22, 2024
- 659
- 1,126
Samahani kidogo sister huyo kwenye avatar ni wewe???Mwandiko😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani kidogo sister huyo kwenye avatar ni wewe???Mwandiko😄
Hiyo sababu nishaijua mkuu .
🤣🤣🤣Usivyopenda singlemom utaniua wewe🙆Naomba namba yako
Fanya namna...Nitafanya jambo 😁😁😁
Wa pili ni nani????Wamesikia.
NI Vizuri Sana ku- appreciate Watu wanaokukubali
🤣🤣🤣 Mwakani zamu ya wengine mkuu.But asante sana mwambaHongera kwako Evelyn Salt nilikupigia kura kaa ukijua
To yeye we mshikaji wangu usijali mwakani nitakupa wewe leo tumempa dada yako kwa sababu ya seniority..
Vitoto tunavifukuza vikajitegemee🤣🤣🤣Usivyopenda singlemom utaniua wewe🙆
Kijana uko wapi sa hii.....unaweza kuja hii pub kwenye corner?
Turudi kwenye avatar sasa.Huo uchaguzi mbona wamejichanganya...
Evelyn Salt ni Broh....Tena senior Broh!!
Huo uzi wa mashindano ni upi?
Anao Robert Heriel MtibeliHuo uzi wa mashindano ni upi?
😂😂😂😂😂Nipo hapa mwisho wa lami..Kijana uko wapi sa hii.....unaweza kuja hii pub kwenye corner?
Nipe tu ya zawadi bhanaVitoto tunavifukuza vikajitegemee
Namba inayopokea muamala naomba, jina litakuja nani.😂😂😂😂😂Nipo hapa mwisho wa lami..
Huko takuja badae badae hivi
Usiseme sasa, watajua.😂😂😂 labda miaka mitatu hukoo ilopita...