Hongera Haji Manara kwa kupewa kazi ya usemaji wa kampuni ya Tigo

Kiingilishi kinapanda?...

Elimu ya Telecom ipo? Ok.
Exposure je?......

Anewei.. hongera kwake.
Maswali yako ni mazuri kabisa na wangetakiwa wajiulize hivyo. Ila kama tunavyojua ni kwa Tanzania, watu wenye porojo za kijinga ndiyo huonekana kama ni majembe. Haki ya nani tumekwama sehmu mbaya sana sana na aliyetufikisha hapa ametuweza. Yaani ili uwe kiongozi au mtaalam, ''elimu'' unayotakiwa kuwa nayo ni ujinga na porojo.
 
Siyo kuwa yuko nchi ya wajinga? Huyu jamaa kwa mtu uliyeenda shule na ukaelimika sidhani kama unaweza kuona kuwa ana karama zaidi ya ujinga uliopitiliza. Kwanza maisha yake mtaani yamejaa ujinga kiasi ambacho inashangaza kampuni kumpa kazi ya kuwa msemaji. Uliwahi kuona ile video alipoenda USA akanunua escot halafu akawajirekodi huku anampiga busu huku mwanamke anaonekana yuko un-comfortable kabisa?
 
Tofautisha kazi na maisha binafsi nje ya kazi Mkuu.
 

Jackson Mmbando PR Airtel na zamani Tigo ni mwanahabari na hana cheti chochote cha chuo kikuu cha uhandisi wa mawasiliano na anafanya kazi vizuri tu huwezi jua kama ni mwanahabari...

Hassan Bumbuli aliye NMB sasa hivi ni mwanahabari, mifano ipo mingi

Ila huku kwenye maswala ya 5G mara 4G na unaenda ktk midahalo ya kimataifa kuzungumzia kampuni yako. Una content..?

Ikija midahalo au summits za kimataifa kama TAIC, MWC, AfricaCom, TowerXchange, ConnectedAfrica n.k wanaowakilisha kampuni za mawasiliano huwa ni wenye taaluma ya telecom kama CTO's, CEO's n.k...
 
Do majority Tanzanians care about that quality you mention?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…