Hongera Haji Manara kwa kupewa kazi ya usemaji wa kampuni ya Tigo

Corporate and brand communications ni professional job,Zina ethics zake , hongera zake haji, ila atahitaji orientation nzito, siyo kazi ya vijora ile
Kwanini ashindwe....wakati watz wao
Wana taka lipolopo maneno mengi basi

Ova
 
Mboni nasikiaga eti yeye mwenyewe ni mganga?
 
"Kuisemea Kampuni kubwa kama hii hususan katika kipindi hiki cha Holiday na kwa namna walivyojipanga na hizi Zawadi kubwa kubwa ni zaidi ya Mipango ya Mungu, na ni heshma kwetu ndugu zangu".


Kama ni zaidi ya mipango ya Mungu, ni mipango ya nani huyo aliye juu ya Mungu?
 
Kingereza cha kazi gani wakati Lengo ni kuitangaza na wanahitaji uwezo wa kushawishi sio kingereza
 
Nasikia sio msemaji ni semaji la tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…