Hongera Haji Manara kwa kupewa kazi ya usemaji wa kampuni ya Tigo

Hongera Haji Manara kwa kupewa kazi ya usemaji wa kampuni ya Tigo

Kiingilishi kinapanda?...

Elimu ya Telecom ipo? Ok.
Exposure je?......

Anewei.. hongera kwake.
Wwe na vigezo vyako hivyo endelea kupiga domo tu maskani.

Yupo mtangazaji mkubwa na bloger hapa bongo ni billionea ila form four alifeli sema ana kipaji ,leo yupo mbali kushinda walioenda kusoma nje mass communication.

Yupo mmoja nae karudi kutoka BBC ni hivyo ...Mtu kama ana kipaji haina haja ya elimu ya makaratasi.
 
Mi sio wa hivyo Laki, mi napenda mwanaume mtulivu na mwenye mapenzi sio pesa.

Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu, ni baadae tena wakati familia ikipatikana.

Na sio pesa za kufuru, lah! Za kukidhi mahitaji basi.
Aisee huu mtizamo wachache sana bado siamini, niaminishe.
 
Mh
Maisha haya usiyachukulie sana serious bro,hata unaejitambua kuna muda wa kusikiliza ujinga ili upate tabasamu na ikibidi kicheko sio kila saa we uko serious ili uonekane una akili
Kwani ujinga ni nini? Wewe ujinga huwa unakupa tabasamu? Na kukataa ujinga ni kuchukulia maisha serious na kukubali ujinga ndiyo kufurahia maisha? Wewe naona unachanganya kati ya funny (nimekosa neno lake kwa kiswahili) na ujinga. Mtu kama Manara mambo anayosema na kutenda ndiyo burudani kwako? Kweli nchi yetu ina matatizo makubwa. Anyways, nadhani hata hao waliomteua wamefanya hivyo kwa sababu wanajua nchi yetu imejaa wapumbavu watakafurahia. Hata Makonda aliteulia kwa sababu hiyo hiyo.
 
Wwe na vigezo vyako hivyo endelea kupiga domo tu maskani.

Yupo mtangazaji mkubwa na bloger hapa bongo ni billionea ila form four alifeli sema ana kipaji ,leo yupo mbali kushinda walioenda kusoma nje mass communication.

Yupo mmoja nae karudi kutoka BBC ni hivyo ...Mtu kama ana kipaji haina haja ya elimu ya makaratasi.
Kipaji kwenye mambo serious? Basi hata huko hospitalini kuwe na madaktar wenye vipaji ambao hawana any license or certificate.

Usidharau profession za watu Mkuu..
 
Unaongelea exposure gani kwa Haji Manara?

Watu wote wanaofanyia kazi kwenye kampuni za simu lazima wawe na telecom education?
Hilo neno WOTE umeliweka wewe.

Unaangalia ni nafasi gani huyo mtu yupo.. MSEMAJI unafaham maana yake?

Unajua kama taasisi ikiwa na ishu za kisheria MSEMAJI anapaswa afafanue kwa kushirikiana na Mwanasheria wa taasisi?

Unajua kama taasisi ikiwa na ishu za kitekniko MSEMAJI anapaswa azungumzie pale inapohitajika kampuni ielezee hilo jambo?

Ndio maana kuna watu ukiwahoji baadhi ya maswali kuhusu kampuni husika anasema mimi sio MSEMAJI.

Exposure ya telecommunication companies and how technology inakwendaje.. imetoka wapi, ipo wapi na inakwenda wapi.
 
sidhan kama hajaiva nadhani kabla hajapewa deal alikua class, hawawezi mtangaza tu wakat hajaiva.

kutangazwa kwake ni kama mwanafunzi anae hitimu,mtihani kwanza, una clear SAP zote ndipo una graduate.

Manara kashaiva huyo deal hajalipata jana alilipata muda kidogo ila alikua darasani ndio mana siku zote alionekana mwenye furaha na kuringa kwani alishaanza mpaka na Kulipwa kabla hajawekwa hadharani.

Wana jamvi ndio tumejulishwa jana baada ya SEMAJI ku clear SAP zote.

Maisha rahisi hivyo ee.. sawa.
 
Hayo unayajua wewe business company siku hizi wameshatoka huko
Ulivyoandika kama una uhakika vile.

Bizness yoyote ile inakupaswa uijue BIASHARA. usipoijua Biashara yako huwezi fanya kitu. Haji haijui Biashara ya telecom anaijua Biashara ya Mpira.
 
Ulivyoandika kama una uhakika vile.

Bizness yoyote ile inakupaswa uijue BIASHARA. usipoijua Biashara yako huwezi fanya kitu. Haji haijui Biashara ya telecom anaijua Biashara ya Mpira.
Tofautisha msemaji wa products na msemaji wa kampuni ni vitu viwili hapo tunaongelea msemaji wa kampuni lazima awe na knowledge ila wa priducts ni muhimu awe na nguvu ya ushawishi..
 
Tofautisha msemaji wa products na msemaji wa kampuni ni vitu viwili hapo tunaongelea msemaji wa kampuni lazima awe na knowledge ila wa priducts ni muhimu awe na nguvu ya ushawishi..
Soma heading ya hii habari imeandikwaje?
 
Pamoja na madhaifu yake yote, matusi na lugha chafu ila ukweli Manara ana karama ya umashuhuri.

Kila anachogusa na kufanya ni habari. Sijajua usemaji huo utakuwa wa aina gani hasa kwenye mtandao wa simu ila sina mashaka na utekelezaji wake.

Manara alizaliwa kufanya anachokifanya.
Yupo unique ndio maana karama ya umashuhuri anayo
 
Pamoja na madhaifu yake yote, matusi na lugha chafu ila ukweli Manara ana karama ya umashuhuri.

Kila anachogusa na kufanya ni habari. Sijajua usemaji huo utakuwa wa aina gani hasa kwenye mtandao wa simu ila sina mashaka na utekelezaji wake.

Manara alizaliwa kufanya anachokifanya.
Huwa nainjoi mambo yake, ukute sasa anachambana na mange
 
Kipaji kwenye mambo serious? Basi hata huko hospitalini kuwe na madaktar wenye vipaji ambao hawana any license or certificate.

Usidharau profession za watu Mkuu..
Mambo ya serious ndio yapi? Hapo sio hospitalini, kwamba hao hawana akili watoe mamilion kwa mtu ambaye hafit kweny nafasi.!?
 
Unajua kuitwa MSEMAJI ujue ni jina zito sana.

Lazima Biashara uijue haswa, ujue mambo ya kiteknolojia ujue taasisi mipango yake yaan Strategic plans..

Huyu jamaa kule kwenye Mpira palimfaa kwa kuwa anafaham Mpira maana amezaliwa na kukulia ktk Mpira.

Ila huku kwenye maswala ya 5G mara 4G na unaenda ktk midahalo ya kimataifa kuzungumzia kampuni yako. Una content..?
Atajisahau tu utasikia mitandao mingine wehu mbwa magabachori na majina ya ushenzi ushenzi atawapa tigo wasipoangalia wanaenda kupata makesi kupitia bwana zero brain hachagui cha kuongea ni pro propeoooo kamaliza😂😂
 
Mambo ya serious ndio yapi? Hapo sio hospitalini, kwamba hao hawana akili watoe mamilion kwa mtu ambaye hafit kweny nafasi.!?
Utabisha ila ukweli ndio huo.

Hata kwenye Siasa.. si mnawekaga watu amabao hawafiti na ni nafasi nyeti kabisa?
 
Back
Top Bottom