Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Una uhakika nina Maisha magumu? 😂😂 enewei wacha ninyamaze.Magumu kwako boss,watu wana vismati vyao.
Kuteseka tunateseka wengine tu,kigumu kwako kwa wengine ni kama kumsukuma tu Mlevi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika nina Maisha magumu? 😂😂 enewei wacha ninyamaze.Magumu kwako boss,watu wana vismati vyao.
Kuteseka tunateseka wengine tu,kigumu kwako kwa wengine ni kama kumsukuma tu Mlevi.
Kwanini asifit? Anafit tu. Kama Joti anaweza itangaza kwanini yeye ashindwe kuisemea? Anapewa script, anaipitia anaita waandishi anawapa habari watumiaji wa Tigo anapewa mshahara wake. Akifanya makosa anawajibishwa. Mambo si magumu.Utabisha ila ukweli ndio huo.
Hata kwenye Siasa.. si mnawekaga watu amabao hawafiti na ni nafasi nyeti kabisa?
Vyeti ni wewe na mambo ya kizamani....Nimekupa mfano kazi za pesa nyingi zinahitaji kipaji sio vyeti kama hao madokta wengi ni njaa kali na mshahara wao wa kawaida kibongo bongo.Utabisha ila ukweli ndio huo.
Hata kwenye Siasa.. si mnawekaga watu amabao hawafiti na ni nafasi nyeti kabisa?
AiseeKwanini asifit? Anafit tu. Kama Joti anaweza itangaza kwanini yeye ashindwe kuisemea? Anapewa script, anaipitia anaita waandishi anawapa habari watumiaji wa Tigo anapewa mshahara wake. Akifanya makosa anawajibishwa. Mambo si magumu.
Dunia sasa watu hawangalii vyeti mkuu ni skills ndio zitakubeba, ommy dimpoz yupo pale gsm na analipwa kuliko hao wasomi wa marketing na anafanya kazi kubwa dunia ya sasa imebadilika , same as haji manara wameona numbers anazoleta kwenye brand, simba ilikuwa inatisha enzi zake alikuwa anawVunja kisaikolojia timu pinzani na kujion dhaifu , hicho ndio kipaji alichopewa na munguKiingilishi kinapanda?...
Elimu ya Telecom ipo? Ok.
Exposure je?......
Anewei.. hongera kwake.
Kuna watu wana akili za kuku kabisa au ni vichwa panzi, mnadhani kila mtu anashobokea uteuzi!, mtu ni mtangazaji maarufu ametangaza for more than 30 years, kiumri anakwenda 60, atafute uteuzi for what?!.Hivi Pascal Mayalla ana gundu gani lakini ?
Bro kwenye maisha yako napo una complicate namna hii. This is too much for this position. Kwa experience yake kwenye media na career ya habari nadhani hapa hauhitaji mtu mwenye vyote hivyo.Hilo neno WOTE umeliweka wewe.
Unaangalia ni nafasi gani huyo mtu yupo.. MSEMAJI unafaham maana yake?
Unajua kama taasisi ikiwa na ishu za kisheria MSEMAJI anapaswa afafanue kwa kushirikiana na Mwanasheria wa taasisi?
Unajua kama taasisi ikiwa na ishu za kitekniko MSEMAJI anapaswa azungumzie pale inapohitajika kampuni ielezee hilo jambo?
Ndio maana kuna watu ukiwahoji baadhi ya maswali kuhusu kampuni husika anasema mimi sio MSEMAJI.
Exposure ya telecommunication companies and how technology inakwendaje.. imetoka wapi, ipo wapi na inakwenda wapi.
sipati picha kwa voda vichambo watakavyovipataDuh...kwa hiyo atakuwa anawachamba makampuni mengine
Ova
Duh hamisa anawahamasishaManara anajua kuhamasisha...yupo vizuri kwenye hilo....Tigo hainaga jambo dogo inachukua influencers ndyo maana wapo na Milard Ayo,Hamisa na zamani Joti
Binafsi huyu jamaa hajawahi kunjfanyia baya lolote ila nafsi yangu iligoma kumsamehe tokea aondoke simba na maneno ya kashfa kwa mo dewji na barbraPamoja na madhaifu yake yote, matusi na lugha chafu ila ukweli Manara ana karama ya umashuhuri.
Kila anachogusa na kufanya ni habari. Sijajua usemaji huo utakuwa wa aina gani hasa kwenye mtandao wa simu ila sina mashaka na utekelezaji wake.
Manara alizaliwa kufanya anachokifanya.
Kwahiyo wewe na hao wenye hiyo kampuni ambao wamemuajiri huyo nani kati yenu anauelewa mkubwa juu ya hayo?Unajua kuitwa MSEMAJI ujue ni jina zito sana.
Lazima Biashara uijue haswa, ujue mambo ya kiteknolojia ujue taasisi mipango yake yaan Strategic plans..
Huyu jamaa kule kwenye Mpira palimfaa kwa kuwa anafaham Mpira maana amezaliwa na kukulia ktk Mpira.
Ila huku kwenye maswala ya 5G mara 4G na unaenda ktk midahalo ya kimataifa kuzungumzia kampuni yako. Una content..?
Ndiyo maana hawajakuchukua weweDuh hamisa anawahamasisha
Ova
Hongera sana Haji Manara kwa nafasi hiyo adhwimu.God bless!!!
Aliyepewa kapewa.
Itoshe kusema kwamba Mganga wa Haji sio tapeli.
---
Kupitia Ukurasa wake rasmi wa Instagram HajiManara anathibitisha kupata usemaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo. Katika kulieleza hili Haji Manara anaandika:
Alhamdulillah 🙏🏻🙏🏻
Unadhani mimi ni hodari sana kiasi cha kuendelea kupata hizi deals za Makampuni? Hapana ni Mungu tu anaeniangazia na pengine kuuvaa uhusika nnapokabidhiwa jukumu na wao au Taasisi nnazofanya nao kazi.
Kuisemea Kampuni kubwa kama hii hususan katika kipindi hiki cha Holiday na kwa namna walivyojipanga na hizi Zawadi kubwa kubwa ni zaidi ya Mipango ya Mungu, na ni heshma kwetu ndugu zangu.
Sisi tumetoka Uswahilini huko kuja kupewa fursa kama hizi ni ushindi kwa Mahaslers wote.
@tigo_tanzania mmepata Semaji, Mmepata Mwanamme hasa anaejua kazi yake, Mtaenjoy mwaka huu.
Corporate and brand communications ni professional job,Zina ethics zake , hongera zake haji, ila atahitaji orientation nzito, siyo kazi ya vijora ileHongera sana Haji Manara kwa nafasi hiyo adhwimu.God bless!!!