Ni matatizo ya afya ya akili sasa hivi watanzania wengi tuna shida hiyo. Tena na mitandao ndio inaharibu akili kabisa. Tuzoeane na kuchukuliana kama tulivyo tuuKuna watu humu sijui ni kukosa hela kunawafanya wanaropokwa?!
Sijibiwi wapi?Baada ya kuona hujibiwi siku hizi umekuja kivingine as if sio wewe vile??
Utakuwa ndo wewe mzazi mwenzio alikuja chukua mtoto akakuacha unalia lia. Wakati unabeba mimba si hatukuwepo ila bwana ako alipokuja chukua mtoto ukaja mdai JF utadhani mlipeana humu... Hovyo sana nyie mademu wa uswahilini.Mkuu jifunze kuficha upuuzi wako, damn sculando
Asante sana mkuu, watu wana nongwa acha tuuIna maana mtu kuanzishiwa uzi imekuwa kosa best hongera
Sawa nitakutafuta....Ukisoma hii msg mama kichanga nitafute
Vacation sehem ya kupanda farasi na ngamia,Kwenye farasi hata sijaelewa mkuu, unamaanisha nini hapo
Ooh vacation, let's go vacation [emoji28]Ali
Vacation sehem ya kupanda farasi na ngamia,
Unaenda na Nani😳😳😳😳Ooh vacation, let's go vacation [emoji28]
Wasikuchoshe kipenzi unahitaji mda mwingi wa kupumzika.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilitaka kushangaa mpaka saa hizi baba mtoto wa JF asijitokeze...mkuu sio poa
Mbona unatoa macho kama fundi saa, twende vacay na wewe au hutaki?[emoji3]Unaenda na Nani[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Pole sana, maisha hayako fair kabisa. Inaonekana umepitia safari ngumu🤔🙉Utakuwa ndo wewe mzazi mwenzio alikuja chukua mtoto akakuacha unalia lia. Wakati unabeba mimba si hatukuwepo ila bwana ako alipokuja chukua mtoto ukaja mdai JF utadhani mlipeana humu... Hovyo sana nyie mademu wa uswahilini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana, maisha hayako fair kabisa. Inaonekana umepitia safari ngumu[emoji848][emoji86]
Yea I & we mean No Malice To NobodyNi matatizo ya afya ya akili sasa hivi watanzania wengi tuna shida hiyo. Tena na mitandao ndio inaharibu akili kabisa. Tuzoeane na kuchukuliana kama tulivyo tuu
Umenisahau kwenye tag mkuu😜🙆Team jf usiku wa Manane, member mwenzenu huyo Bantu Lady, Dahan, National Anthem, Mzee wa kupambania, Analyse, Poor Brain, stow away
👉 We mean no malice to nobody
👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
We & I mean No Malice To Nobody