Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Utakuwa ndo wewe mzazi mwenzio alikuja chukua mtoto akakuacha unalia lia. Wakati unabeba mimba si hatukuwepo ila bwana ako alipokuja chukua mtoto ukaja mdai JF utadhani mlipeana humu... Hovyo sana nyie mademu wa uswahilini.
Pole sana, maisha hayako fair kabisa. Inaonekana umepitia safari ngumu🤔🙉
 
1682442666055.jpg
 
Back
Top Bottom