trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Ni matatizo ya afya ya akili sasa hivi watanzania wengi tuna shida hiyo. Tena na mitandao ndio inaharibu akili kabisa. Tuzoeane na kuchukuliana kama tulivyo tuuKuna watu humu sijui ni kukosa hela kunawafanya wanaropokwa?!