Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie
Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:

''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.''View attachment 2603405
Mungu azidi kukupa maisha marefu yenye furaha na baraka tele ili uendelee kufanyika baraka kwa watu wengine. Intelligent businessman umeniandikia maneno ya baraka sana mpaka nakosa neno la kushukuru vipi. Asante sana kwa pongezi na upendo, moyo wako huu uliona nao i wish binadamu wengi tungekuwa nao. Muda wote upo happy with positive vibes na unaakisi msemo wako " i mean no malice to nobody".
 
Chizi pande hizi kuna positive vibes tuu hutanipa makasiriko halafu baada ya kujua ni chizi kweli sio jina tuu nikaapia sitakupa kiki tena no matter uzi gani utauanzisha.
Mi sijaanzisha uzi wowote. Nimeuliza nijue maana humu kuna vichwa mbalimbali... Sisi ni ndugu wasomaji tu
 
Hivi ni nani ALIKUJA KUDAI MTOTO KWA MUMEWE HUMU JF? YAANI WALITIANAH HUKO NA KUZALISHANA. MUME AKAENDA KUCHUKUA MTOTO MKE AKAJA KUDAI JF.... WANAWAKE WENGINE UKIAMBIWA UCHAGUE NA KITUMBUA UNACHAGUA KITUMBUA. USELESS KABISA.
Mkuu jifunze kuficha upuuzi wako, damn sculando
 
Back
Top Bottom