trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Mungu azidi kukupa maisha marefu yenye furaha na baraka tele ili uendelee kufanyika baraka kwa watu wengine. Intelligent businessman umeniandikia maneno ya baraka sana mpaka nakosa neno la kushukuru vipi. Asante sana kwa pongezi na upendo, moyo wako huu uliona nao i wish binadamu wengi tungekuwa nao. Muda wote upo happy with positive vibes na unaakisi msemo wako " i mean no malice to nobody".Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie
Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:
''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.''View attachment 2603405