Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Mpendwa trudie naomba uzingatie kwenye positive opinions 🙏🙏
👉Achana na watu wenye chuki, wanna jaribu kukutoa mchezoni ila kwa pamoja tutashinda.
👉 USIOGOPE, we got your back
 
Amina asante sana best, nakutamania nijue kupika fasta kama wewe mimi bado nipo kujifunza kupikahuko kwenye kupamba sio leo wala kesho.
Anza kupamba.
Unapika na kupamba


Hata Mimi si mara zote napika vizuri
 
Back
Top Bottom