Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
Dua mpirani?Sasa watu wanaomba dua zao nayeye anawakatisha tamaa? Afadhali angekaa kimya tu. Hata kama mwanao kiraza mpe moyo [emoji22]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua mpirani?Sasa watu wanaomba dua zao nayeye anawakatisha tamaa? Afadhali angekaa kimya tu. Hata kama mwanao kiraza mpe moyo [emoji22]
Ahahahah kwel taifa stars imezua balaaNingekuandikia uyaone sema na mimi nitapigwa ban..
Kwa nini unamchanganya aseno kwenye timu kubwa?Kwani ulishawahi kuwasikia like playing in big European clubs like R. Madrid, Barca, PSG, Arsenal, Juve, Milan, Man City au hata Aston Villa tukiacha mbali zinazoshiriki daraja la pili UK au Bundasliga?🤣🤣🤣🏃🏃
Mpuuzi kweli, anataka kuichonganisha Tanzania kidiplomasia na nchi zingine, mpuuzi sana aondolewe maramojaAmesema kuwa Shirikisho la Soka Afrika ( CAF ) linaipendelea sana nchi ya Morocco kwakuwa ni Taifa Tajiri na linaipangia Ratiba nyepesi ili Kuibeba katika Mashindano mbalimbali tofauti na nchi zingine ( ikiwemo yake ya Algeria ) ambayo inachukiwa na CAF.
[emoji1787][emoji1787]Samata, majaliwa, mwijaku, baba levo wamezibetia morocco
Kwahiyo sio miongoni mwa timu kubwa bwashee?🤣Kwa nini unamchanganya aseno kwenye timu kubwa?
Hakuna cha kudraw Morocco anashinda direct, sasa mimi naweka hand cap ya Home(0:2) alafu tuone😄Kesho nitaweka double chance Morocco win au draw
Kama ni kweli amesema hivyo anatukosea sana sisi ccm hajui namna tulivyoangaika kushawi michango ya taifa stars ..Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru.
Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi. Hivyo tumekuja kutalii na kuwapa changamoto wachezaji kwa manufaa ya baadaye".
Tujifunze kuwa wakweli kama kocha wa taifa stars. Hivi kweli Kuna mtanzania anaamini taifa stars itavuka hata makundi? Kwa wachezaji gani?
Mungu mbariki kocha wa Taifa Stars.
Haha unaweka ngapi kwanza?Subiri nikuige sasa wewe nichanie mkeka wangu....
Namaanisha timuPesa au timu?
Embu nitumie huo mkeka wako Pm niuone.😊Timu 5