Hongera kwa Wabunge na Viongozi wa Upinzani waliogoma kuuza utu wao

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa.

Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni makini, simameni. Hatutaanguka wote.

Hongereni sana, haikua rahisi.
 
Hakika wanastahili pongezi za dhati kwa majaribu makubwa na mateso mliyoyapata lakini hamkuuza utu wenu,wasiopata majaribu ndio wamekimbia na kuusaliti upinzani Aibu yao Historia itawakumbuka
 
Kabisa, imekuwa miaka 5 ya kidikteta na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu tusiruhusu tena mambo haya.
 
Mungu aliyewavusha huko na awasimamie katika kipindi hiki waibuke na ushindi wa kishindo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…