Hongera kwa Wabunge na Viongozi wa Upinzani waliogoma kuuza utu wao

Watu wanajiuza miili na kurisk maisha sababu ya familia ndo ije ubunge, we fa la sana
 
Wanaume wenzetu wametuangusha sana
Wengine wamevumilia Sana kila mwezi kumpa mwenyekiti Mbowe 530000/- wengine 1560000/- ngumu kumeza. Hongereni Sana kwa uvumilivu huo

Kongole mwenyekitiiiiiiii
JamiiForums-654129037.jpg
 
Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa.

Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni makini, simameni. Hatutaanguka wote.

Hongereni sana, haikua rahisi.
Wameishia kununua .madiwani na wabunge njaa....

Kuiua CDM unahitaji kichwani uwe fit... yaani hesabu kama za Galileo...
sasa akili kidogo kama zangu na nguvu nyingi wapi na wapi kuruta!!
 
Hahahaha unakuta mtu akili zake zinamtuma kusifia tu
 
Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa.

Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni makini, simameni. Hatutaanguka wote.

Hongereni sana, haikua rahisi.

Hakuna yasiyokua na mwisho yuko wapi nkurunzinza
 
Back
Top Bottom