Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

Hata mim nilisema nijaribu tu sikuwah itilia maanani japo nilikuwa najua chumvi ni dawa nzuri toka nianze kutumia nalala usingizi mzuri naweka maji kwenye jar naweka chumvi nanuia naiweka kona ya nyumba ,nyumba kimyaaa hata wadudu hawaingiii
Ukiona nyumba yako inaingia wadudu wa kila aina jua sio ishara nzuri
 
Kwetu sisi tulioamini huo ni ushirikina. Huu mjadala siupendi, tuuache.

Amini unachoamini Mkuu.
Ni kweli kila mtu na anavyoamini na hilo ni la kuliheshimu, sema nilichojifunza binafsi ni kwamba sio kitu rahisi sana kujua uhakika wa kipi ni ushirikina na kipi sio ushirikina kama utaangalia mambo kiupana zaidi sema mwisho wa siku Mungu ndio mjuzi zaidi.
 
Hakuna cha chumvi ya mawe wala nini hizo ni blaah blaah

Ungekuwa una akili kwa sasa ungefanya uchunguzi kuangalia ni nini kimeboresha biashara yako na kuongeza kipato chako ukomae humohumo na uboreshe zaidi
Inawezekana hiyo chumvi ya mawe imesababisha akapata akili jinsi ya kuboresha biashara yake
 
Hasa mchwa na siafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…